Uchaguzi Mdogo Ushetu. Waliopiga kura 106,000+. Ambao hawakupiga kura ni wangapi?

Against chaguzi zipi za kishenzi?

Hivi huwa mnashiriki vipi chaguzi za kishenzi?

Mnajibaraguza kutoshiriki chaguzi ndogo ila kwenye uchaguzi mkuu mnahiriki tena kwa nguvu zote, hivi huwa hui ushenzi umeisha?

[emoji23][emoji23][emoji23]Unachekesha yani ni sawa na mtu kusema huwa sili kitimoto bali huwa nakunywa mchuzi tu.
 

Sioni hata kama unaelewa naongea nini, maana unachoongea kiko irrelevant na ninachosema.
 
Sioni hata kama unaelewa naongea nini, maana unachoongea kiko irrelevant na ninachosema.
Yani unachoongea na mnachokitenda ni vitu viwili tofauti.

Ni hivi, susieni chaguzi zote ukiwemo uchaguzi mkuu siyo mnasusia nusu nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…