Pauline rogat
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 339
- 196
Kwa nini watanzania kama wapiga kura hatudai tume huru? Haki ya mpiga kura iko wapi? Mtu anaacha ubunge wa chama fulani halafu anaenda kupigania ubunge huohuo katika chama kingine kwa kugharamiwa na kodi zetu. Bado tuko kimya?? Hayo yamefanyika sana Tz na Tume iliyoko imebariki mambo haya!