Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

MWISHO WA KUPIGA KURA UMEFIKA
 
sahv ni.muda wa kuhesabu kura wa kwanza na wa pili kwa kupata kura nyingi ndo watakua wagombea wa jf
 
Huu ni uchaguzi mkuu jf ambapo tutampendekeza mtu kwa kumtaja kwa kupjga kura. atakayependekezwa zaidi kwa kushika nafasi ya kwanza na ya pili ndio watakua wagombea rasmi humu Na kura ya mapendekezo itapigwa hapahapa kwa kucomment jina la mwana jf unayempendekeza

Mwisho wa kupiga kura ya mapendekezo ni kesho jumatano tar 28 saa 10 kamili jioni na atakayepiga kura baada baada ya hapo itakua batili
Atakayepiga mara mbili ni kosa

Na wagombea hawa wawili watateua makamu wao wagombee pamoja ambapo watateua kiongozi wa kila jukwa ama mwakilishi
Lengo ni kuleta umoja na mshikamano wetu wanajf

Long live jamiiforums
Kwani rais aliyepo ameshastaafu? Maana najua ni Arushaone
 
Back
Top Bottom