Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

Uchaguzi mkuu JF, tumchague rais hapa

Najua watu watachaguana kwa umaarufu wao humu kuliko vigezo... kwanza we uliyeleta uzi ni km nani humu JF.. ???

Kiongozi anatakiwa kuwa...
Smart IQ
asiwe mwanasiasa
Awe active mara kwa mara
Asiwe na udini
Asiwe mtu wa serikali
Asiwe na umri zaid ya miaka 40 wala chini ya 25. N.k
 
huwez kuzima nguvu ya watu mshana jr na The Boss ndo wamependekezwa
 
Tusikie sera zao sio uchaguwe tu alafu iweje ?
Unamkumbuka yule wa 2015 aliyeulizwa na Zuhra Yunus ni nini anataka aifanyie Tz wakati akiwa waziri mkuu alishindwa, yeye akasema eti NYIE NIPENI TU MANDATE NIWE RAIS MTAJUA NATAKA KUFANYA NINI, watu wakachinja.
Labda na hao unaotaka waseme sera zao nao wako hivyo.
 
Back
Top Bottom