Sijaelewa maudhui ya huu uzi wako na ndio maana wengi wanaupuuza, umeachwa unachangia mwenyewe.....
Ndio, ukabila tunajua upo Kenya na tunaendelea kuupunguza, wewe hapo umeng'ang'ania kunyooshea kidole na kusahau ya kwenu tunayafahamu kwa mlivyo wanafiki, ukabila kwenu upo ila kimya kimya sana hata makanisani
Takwimu hazisemewi na mtu.
Replies: 15
Views: 439
Reaction Score: 5
Nashukuru kwamba unataka uamshe michango maana kama hujaelewa screenshot ya nini? Isipochangiwa leo itachangiwa miaka ijayo pia, inawezekana JF.
Je, screenshot yako iko relevant na mada? Kama iko relevant basi ina maana umeelewa maudhui ya mada, japo unachangia irrelevantly.
Kinyume na hapo unafanya direct attack kwa Wakatoliki humu na nje ya humu!
Sitaki tu kukuza makuu ila michango yako iko humu humu inayokutambulisha wewe ni nani na uko wapi japo unajificha kwamba ni Mkenya ili u-divert mada kwenda kwenye udini.
Natambua pia kwamba wewe ni mtetezi imara sana, mahiri zaidi na shujaa mkubwa wa dini yenu ile mnayokulana-tigo.
Kwa taarifa yako, kama kuna Kanisa litakuwa la mwisho kabisaaaa kupasuka ni Roman Catholic. Hata dini yako hiyo pia mnayokulana-tigo itakuwa ya kwanza kupasuka na Roman Catholic ya mwisho. Mimi pia niko kwenye dhehebu (siyo RC) lenye mivutano isiyoisha kama ilivyo dini yako.
Usahihi:
1. Pengo alipumzika Uaskofu wa Jimbo Kuu Katoliki Dsm (kupunguziwa majukumu kutokana na afya na umri).
2. Anaendelea ku-retain Ukardinali wake hadi mauti.
3. Kardinali ni mkubwa kuliko Askofu (Pengo bado ni mkubwa kuliko Ruwaichi)
4. Viongozi wa dini ya Kikristo wa cheo chochote hawastaafu jumla, wanaendelea na huduma hadi wapeleke hesabu kwa Mungu (wako kama wanajeshi wa ngazi za juu), ndiyo maana wakifa wanazikwa na Biblia, Joho, Mshipi, Stola, Kofia na Fimbo kama ni Askofu, na wanagongewa kengele mara 40 kama itifaki ya mazishi ya kiongozi wa kiroho (rais anapigiwa mizinga 21), 40 Kibiblia ni ukamilisho, yaani amekamilisha kazi ya huduma.
5. Muadhama Pengo ameokoa mengi nchi hii, historia itamkumbuka hadi dahari. Chunga usijeenda kumsujudia utapojitambua baadaye huko kama Gwajima.
Sasa nadhani kuanzia hapa utakoleza/utaamsha michango ambayo umesema watu hawachangii, vinginevyo ukae kimya ili madai yako kwamba watu wameupuuza uzi yaendelee kuthibitika kuwa ni kweli.