Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Nafikiri hii case inaweza kuweka precedent mbaya. Kwa mfano, kwenye chaguzi zijazo kitokee anything kitakachosababisha ucheleweshwaji wa MPs kuapishwa kama ilivyotokea uchaguzi uliopita. Je, in the subsequent election, wata-override tena hicho kifungu cha katiba?
kilichotokea Kenya ni uroho wa wanasiasa.
Waliona kuwa endapo uchaguzi ungekuwa Agosti, wangepunjwa mishahara na marupurupu ya miezi mitano mizima, imagine? Kwa mshahara wa KSh. 800k kwa miezi tano? Aloo...
Ukweli ni kuwa ni lazima watu wasacrifise nafasi zao ili katiba mpya itekelezwe @first time, kama alivyofanya Mkurugenzi wa TAASISI YA KUPAMBANA NA RUSHWA, PLO Lumumba.
Its African Leaders' legacy again...