Uchaguzi mkuu Kenya sasa ni Machi 2013

Uchaguzi mkuu Kenya sasa ni Machi 2013

Nafikiri hii case inaweza kuweka precedent mbaya. Kwa mfano, kwenye chaguzi zijazo kitokee anything kitakachosababisha ucheleweshwaji wa MPs kuapishwa kama ilivyotokea uchaguzi uliopita. Je, in the subsequent election, wata-override tena hicho kifungu cha katiba?

kilichotokea Kenya ni uroho wa wanasiasa.
Waliona kuwa endapo uchaguzi ungekuwa Agosti, wangepunjwa mishahara na marupurupu ya miezi mitano mizima, imagine? Kwa mshahara wa KSh. 800k kwa miezi tano? Aloo...
Ukweli ni kuwa ni lazima watu wasacrifise nafasi zao ili katiba mpya itekelezwe @first time, kama alivyofanya Mkurugenzi wa TAASISI YA KUPAMBANA NA RUSHWA, PLO Lumumba.
Its African Leaders' legacy again...
 
Mahakama ya kenya imewarudishia wale rais na PM mamalaka ya kuweka tarehe ya uchaguzi. Hii ni wakati ambayo katiba ya kenya inafanya kazi. na wacha tuone kama itamfaidi mkenya mwananchi
 


kenyans are now becoming sticklers for constitutionalism. One may not agree with them but this is, unreservedly, a good thing 😛oa
 
Last edited by a moderator:
as i've said before on this thread, the new constitution will take years of interpreting by the judiciary and the encouraging thing is, ordinary Kenyan wananchi are up to the task of challenging any deviation by individuals or institutions without fear. The second part of this video is interesting watching

 
Last edited by a moderator:
Raila adokeza anataka uchaguzi ufanyike mwaka huu!


PM Raila Odinga has hinted that the forthcoming general election could be held later this year and not next year as suggested by the High Court.
 
Last edited by a moderator:
As long as Kenya is the third world country but they tried to there best to establish new constitution and now are on practise

Good. Having a good constitution without abiding to it is as good as not having it at all. I think we will face the same fate here in Tanzania, if we are not that careful
 
Unatekeleza matakwa ya wananchi au katiba?!
wabunge wa kenya wameiruka katiba waloiapia kuilinda baada ya kutaka uchaguzi ufanyike mwezi August,badala yake uchaguzi utafanyika mwezi januari. katiba mpya ya kenya inataka uchaguzi ufanyike baada ya miaka 5 ila wananchi wanataka uchaguzi ufanyike kwa mjibua wa katiba ilowaweka madarakani.

lpo haja ya serikali za kiafrika kuanza kutekeleza matakwa ya wananchi ili kujijengea imani kwa wapiga kura wao
BBC....
 
Court: Kenya's next election in March 2013


PIX.jpg


FROM LEFT: Appellate Judges Kalpana Rawal, Erastus Githinji, Hannah Okwengu, David Maranga and Martha Koome.


The Court of Appeal has upheld a lower court's ruling that the next Kenya General Election will be held in March 2013.

A majority bench ruled that the March 4, 2013 date set out by Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) be "adhered to".

Only Justice Martha Koome issued a dissenting ruling. The judge ruled that the polls should be held on or before January 15, 2013.

Justice Koome ruled that Parliament's life should not exceed a five-year cycle and said the House should be dissolved on November 14, 2012.

She ruled that the High Court misinterpreted the Constitution and the two alternatives given by court were unconstitutional. The judge declared them null and void.

However, four appellate judges ruled that Kenyans will go to the polls in March next year.

Judges Erastus Githinji, Kalpana Rawal, Hannah Okwengu and David Maranga upheld a decision reached by the High Court in January regarding the election date.

Justices Isaac Lenaola, David Majanja and Mumbi Ngugi ruled that the elections will be held in March, 2013 after the expiry of the current Parliament's term unless the President and the Prime Minister agree in writing to dissolve the Coalition Government.


Following the decision and the failure by the two principals to indicate whether they will dissolve the government, the IEBC went ahead to fix the election date on March 4, 2013.

However, two lobby groups, the Centre for Rights Education and Awareness (CREAW) and the Caucus for Women's Leadership appealed against the High Court ruling claiming that the judges misinterpreted the Constitution.

Court: Kenya's next election in March 2013*- Politics*|nation.co.ke
 
Kwa sababu bunge hili lilianza term mnamo tarehe 13 Januari 2008, term yake inaisha 13 January 2013. Kwa hivyo ukifuatilia katiba vizuri, uchaguzi unafaa uwe baada ya hapo. Alternative inayopatikana kwa katiba ni rais avunje bunge kabla hiyo miaka mitano haijapita. Hapo ndipo uchaguzi utakapoweza fanywa mapema au, kwa sababu Kenya inatawaliwa na "coalition" kwa sasa, accord ambayo inatawala coalition hii ikivunjwa na both parties, tutaweza pata uchaguzi wa mapema.
kshaka
Wadau wetu watani hawaelewi mambo yalivyo katika utekelezaji katiba. Ni vema rais alivotenda kuwa uchaguzi lazima ifanyike siku sitini baada ya makundi yote ya mseto kukubaliana tarehe ya kuvunja serikali ya mseto. Wao wanadhani ni rais anahairisha tarehe ya uchaguzi! wadau hawaelewi hata coalition ikivunjwa hii leo, uchaguzi utafanywa baada ya miezi miwili. !

kilichotokea Kenya ni uroho wa wanasiasa.
Waliona kuwa endapo uchaguzi ungekuwa Agosti, wangepunjwa mishahara na marupurupu ya miezi mitano mizima, imagine? Kwa mshahara wa KSh. 800k kwa miezi tano? Aloo...
Ukweli ni kuwa ni lazima watu wasacrifise nafasi zao ili katiba mpya itekelezwe First time, kama alivyofanya Mkurugenzi wa TAASISI YA KUPAMBANA NA RUSHWA, PLO Lumumba.
Its African Leaders' legacy again...

Hii ndio tu fikra ya siasa na nyadhifa za siasa; marupurupu; entitlements yaani "chetu-changu; changu-changu" na mengine ndio yanapigwa darubini. Halfu hapo kwenye red naona PLO kapukutwa wala hacusacrifice maana ako na taaluma lakini hawakurenew contract yake; siasa hizo tu.
 
Back
Top Bottom