Wanajiandaa kufanya nini ambacho wanajua si cha haki hivyo kujitengenezea kinga kwanza? Je yawezekana kinahusika na uchaguzi mkuu ujao?Kwa mabaya yaliyofanyika chini ya utawala huu. Bila kinga Kuna viongozi Mara tu ya kuondoka madarakani wanaweza wakaozea jela.
Tanzania inamhitaji Tundu LissuUkipeleka hati ya dharura kuweka kinga, mwingine atapeleka hati ya dharura kuondoa kinga, hapo ndo penye mtihani...
Mbona ndani ya ccm kuna mashoga kibao na wengine ni ma RC ??? uliwahi kuhoji kuhusu teuzi za hao watu ??? kwn kuwa shoga unalazimishwa??"Katika uchaguzi huu Kuna haja ya kuchagua watu wanao support ushoga?"
"Katika uchaguzi huu Kuna haja ya kuchagua watu wanaotangaza Nia ya kugombea urais wa Tanzania huku wakiishi ulaya(kwa mabeberu)?"
Mkuu Endelea kujibu na sentesi ya pili usiishie hiyo tu ya ushoga japo nayo huna udhibitisho wa majina Wala Nini Ila Mimi ninaongea na evidence e.g TL speach yake ya kutetea mashoga.Mbona ndani ya ccm kuna mashoga kibao na wengine ni ma RC ??? uliwahi kuhoji kuhusu teuzi za hao watu ??? kwn kuwa shoga unalazimishwa??
Tanzania imedhalilika sana kimataifa kwa uongozi duni wa awamu ya 5Kati mambo ya hovyo kuwahi kufanywa au kutendwa na watawala ni hili suala la kujiwekea uwingo wa kinga hata wanapotukosea au kuvunja sheria.
Miaka ya 99 kurudi nyuma wabunge wa jinsia ya kiume walikuwa wanapanga guest chumba kimoja hapa dodoma.Mkuu Endelea kujibu na sentesi ya pili usiishie hiyo tu ya ushoga japo nayo huna udhibitisho wa majina Wala Nini Ila Mimi ninaongea na evidence e.g TL speach yake ya kutetea mashoga.
Kujiwekea kinga maana yake wanajiandaa kusababisha maafa makubwa sana ndani ya nchi hiiMoja ya sababu kubwa ya kuangusha utawala huu wa CCM ni hili la kuleta kwa hati ya dharula muswaada was marekebisho ya sheria ili kuongeza wigo wa viongozi wavunja sheria na Katiba kutoshtakiwa.
Hivi mtenda haki na mlinzi wa Katiba aliye APA kuilinda anawezaje kujiwekea kinga ya kuvunja sheria? Anaogopa nini hasa kama anaheshimu kiapo chake?
Hayo ni maandalizi ya kuandaa mpango wa kuvunja Katiba na sheria na VIONGOZI WA NAMNA HIYO HAWATUFAI.
Ni makosa makubwa sana kumkaribisha nyumbani mwizi anayekuambia kabisa kuwa anajiandaa kukuibia na anaandaa namna ambayo huta mshitaki.
Ukiwa bado hai lakini unafikra maiti ni jambo la kuhuzunisha sana. Hakuna tiba hapo Ila kusubiri tuu nawe uzime"Katika uchaguzi huu Kuna haja ya kuchagua watu wanao support ushoga?"
"Katika uchaguzi huu Kuna haja ya kuchagua watu wanaotangaza Nia ya kugombea urais wa Tanzania huku wakiishi ulaya(kwa mabeberu)?"
Membe hafai tena?Tanzania inamhitaji Tundu Lissu