The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani.
CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi itumike nguvu ya ziada ya wakuu wa wilaya kutisha wanachi kwenda kupiga kura na kutishia kuwakataa kwenye wilaya zao kama hawakwenda kupiga kura.
CCM wanahofia iwapo itatokea wapiga kura wakajitokeza wachache na kupelekea Mheshimiwa Magufuli kupata kura chache kuliko alizopata mwaka 2015 itaharibu kabisa image ya Mheshimiwa kutokana na kwamba kafanya kazi kubwa kwa miaka 5 halafu akapata kura chache, kwa upande mwingine itaonyesha amepoteza ushawishi na hata alichokifanya hakina maana au hakijawashawishi wananchi.
CCM wana kibarua cha kuhakikisha wananchi wanaenda kupiga kura ila sasa zile mbinu kama za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa haazitatumika maana huo uchaguzi una waangalizi wa kimataifa, pia itafanya uchaguzi uonekane haukua huru na haki.
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa sana CCM. Tusubiri tuone.