Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Pumbavu sana wewe. Unajifanya umesoma kumbe umesoma ujinga tu apo. Nyie ndyo mmeenda shule ila mnavyeti vya umasikini tu.Usiandike maneno matupu bila uthibitisho wa kisayansi na utafiti.
Katika utafiki sampuli(sample) ndogo inaweza kutumika kuwakilisha population kubwa sana. Vivyo hivyo ili gharama ya utafiti iwe ndogo, chukua sample ndogo ya watu 10 au 20 wanaowakilisha makundi yote ya kijamii halafu wapige kura wangapi wanamkubali Rais Magufuli ,naamini utakuja kufuta hiki ulichokiandika.
Kwa kukusaidia tu, Mimi nilifanya utafiti wa sample ndogo ya watu 20 ambayo ni uwakilishi wa population nzima ya Tanzania na matokeo ni watu 17 ambao 85% wanamkubali sana Magufuli, wawili kura ziliharibika na mmoja ndio hamkubali
Sent using Jamii Forums mobile app