The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Acha wee!!!🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃Usiandike maneno matupu bila uthibitisho wa kisayansi na utafiti.
Katika utafiki sampuli(sample) ndogo inaweza kutumika kuwakilisha population kubwa sana. Vivyo hivyo ili gharama ya utafiti iwe ndogo, chukua sample ndogo ya watu 10 au 20 wanaowakilisha makundi yote ya kijamii halafu wapige kura wangapi wanamkubali Rais Magufuli ,naamini utakuja kufuta hiki ulichokiandika.
Kwa kukusaidia tu, Mimi nilifanya utafiti wa sample ndogo ya watu 20 ambayo ni uwakilishi wa population nzima ya Tanzania na matokeo ni watu 17 ambao 85% wanamkubali sana Magufuli, wawili kura ziliharibika na mmoja ndio hamkubali
Acha we!!! We nouma kinomaUsiandike maneno matupu bila uthibitisho wa kisayansi na utafiti.
Katika utafiki sampuli(sample) ndogo inaweza kutumika kuwakilisha population kubwa sana. Vivyo hivyo ili gharama ya utafiti iwe ndogo, chukua sample ndogo ya watu 10 au 20 wanaowakilisha makundi yote ya kijamii halafu wapige kura wangapi wanamkubali Rais Magufuli ,naamini utakuja kufuta hiki ulichokiandika.
Kwa kukusaidia tu, Mimi nilifanya utafiti wa sample ndogo ya watu 20 ambayo ni uwakilishi wa population nzima ya Tanzania na matokeo ni watu 17 ambao 85% wanamkubali sana Magufuli, wawili kura ziliharibika na mmoja ndio hamkubali
Uongo nao upo katika miongoni mwa maneno.Usiandike maneno matupu bila uthibitisho wa kisayansi na utafiti.
Katika utafiki sampuli(sample) ndogo inaweza kutumika kuwakilisha population kubwa sana. Vivyo hivyo ili gharama ya utafiti iwe ndogo, chukua sample ndogo ya watu 10 au 20 wanaowakilisha makundi yote ya kijamii halafu wapige kura wangapi wanamkubali Rais Magufuli ,naamini utakuja kufuta hiki ulichokiandika.
Kwa kukusaidia tu, Mimi nilifanya utafiti wa sample ndogo ya watu 20 ambayo ni uwakilishi wa population nzima ya Tanzania na matokeo ni watu 17 ambao 85% wanamkubali sana Magufuli, wawili kura ziliharibika na mmoja ndio hamkubali
Usiandike maneno matupu bila uthibitisho wa kisayansi na utafiti.
Katika utafiki sampuli(sample) ndogo inaweza kutumika kuwakilisha population kubwa sana. Vivyo hivyo ili gharama ya utafiti iwe ndogo, chukua sample ndogo ya watu 10 au 20 wanaowakilisha makundi yote ya kijamii halafu wapige kura wangapi wanamkubali Rais Magufuli ,naamini utakuja kufuta hiki ulichokiandika.
Kwa kukusaidia tu, Mimi nilifanya utafiti wa sample ndogo ya watu 20 ambayo ni uwakilishi wa population nzima ya Tanzania na matokeo ni watu 17 ambao 85% wanamkubali sana Magufuli, wawili kura ziliharibika na mmoja ndio hamkubali
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani.
CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi itumike nguvu ya ziada ya wakuu wa wilaya kutisha wanachi kwenda kupiga kura na kutishia kuwakataa kwenye wilaya zao kama hawakwenda kupiga kura.
CCM wanahofia iwapo itatokea wapiga kura wakajitokeza wachache na kupelekea Mheshimiwa Magufuli kupata kura chache kuliko alizopata mwaka 2015 itaharibu kabisa image ya Mheshimiwa kutokana na kwamba kafanya kazi kubwa kwa miaka 5 halafu akapata kura chache, kwa upande mwingine itaonyesha amepoteza ushawishi na hata alichokifanya hakina maana au hakijawashawishi wananchi.
CCM wana kibarua cha kuhakikisha wananchi wanaenda kupiga kura ila sasa zile mbinu kama za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa haazitatumika maana huo uchaguzi una waangalizi wa kimataifa, pia itafanya uchaguzi uonekane haukua huru na haki.
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa sana CCM. Tusubiri tuone.
Kwa asilimia atashinda 99% kwa idadi kura kiduchu.....namba hazidanganyi. Tutaona tu.Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani.
CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi itumike nguvu ya ziada ya wakuu wa wilaya kutisha wanachi kwenda kupiga kura na kutishia kuwakataa kwenye wilaya zao kama hawakwenda kupiga kura.
CCM wanahofia iwapo itatokea wapiga kura wakajitokeza wachache na kupelekea Mheshimiwa Magufuli kupata kura chache kuliko alizopata mwaka 2015 itaharibu kabisa image ya Mheshimiwa kutokana na kwamba kafanya kazi kubwa kwa miaka 5 halafu akapata kura chache, kwa upande mwingine itaonyesha amepoteza ushawishi na hata alichokifanya hakina maana au hakijawashawishi wananchi.
CCM wana kibarua cha kuhakikisha wananchi wanaenda kupiga kura ila sasa zile mbinu kama za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa haazitatumika maana huo uchaguzi una waangalizi wa kimataifa, pia itafanya uchaguzi uonekane haukua huru na haki.
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa sana CCM. Tusubiri tuone.
Sampling yako ilizingatia nini kuzuia biasness? Halafu inaelekea hujui masuala ya statistics and probabulity.Usiandike maneno matupu bila uthibitisho wa kisayansi na utafiti.
Katika utafiki sampuli(sample) ndogo inaweza kutumika kuwakilisha population kubwa sana. Vivyo hivyo ili gharama ya utafiti iwe ndogo, chukua sample ndogo ya watu 10 au 20 wanaowakilisha makundi yote ya kijamii halafu wapige kura wangapi wanamkubali Rais Magufuli ,naamini utakuja kufuta hiki ulichokiandika.
Kwa kukusaidia tu, Mimi nilifanya utafiti wa sample ndogo ya watu 20 ambayo ni uwakilishi wa population nzima ya Tanzania na matokeo ni watu 17 ambao 85% wanamkubali sana Magufuli, wawili kura ziliharibika na mmoja ndio hamkubali
Huyu inaonekana hajui kabisa maana ya samlping and components of influence.Natamani kujua vigezo ulivyotumia (sample)
Nasikia Mzee mmoja mstaafu ataitisha mkutano muda wowote toka leo.
NEC ni yao,Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani.
CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi itumike nguvu ya ziada ya wakuu wa wilaya kutisha wanachi kwenda kupiga kura na kutishia kuwakataa kwenye wilaya zao kama hawakwenda kupiga kura.
CCM wanahofia iwapo itatokea wapiga kura wakajitokeza wachache na kupelekea Mheshimiwa Magufuli kupata kura chache kuliko alizopata mwaka 2015 itaharibu kabisa image ya Mheshimiwa kutokana na kwamba kafanya kazi kubwa kwa miaka 5 halafu akapata kura chache, kwa upande mwingine itaonyesha amepoteza ushawishi na hata alichokifanya hakina maana au hakijawashawishi wananchi.
CCM wana kibarua cha kuhakikisha wananchi wanaenda kupiga kura ila sasa zile mbinu kama za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa haazitatumika maana huo uchaguzi una waangalizi wa kimataifa, pia itafanya uchaguzi uonekane haukua huru na haki.
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa sana CCM. Tusubiri tuone.
Wewe na wajinga wengine bila kujua ndio mnaoifanya CCM ishinde kila uchaguzi.Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani.