Katiba mpya ikishaundwa na kukamilika haianzi kutumika mpk pale sheria na kanuni zitakapobadilishwa ili kuendana na katiba hiyo.
Ikiwa mpk Sasa katiba haijaanza kuundwa kukiwa kumebaki miezi michache tuingie kwenye uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa na baadaye uchaguzi mkuu, hiyo katiba itakamilika lini na sheria/kanuni zake zitatungwa lini?
Nitoe mifano miwili tu.
1. Endapo katiba mpya itasema matokeo ya urais yahojiwe mahakamani maana yake sheria na kanuni za uteuzi wa majaji lazima zibadilishwe (wasireuliee na rais) na majaji wapatikane wapya.
2. Endapo katiba mpya itataka kuwe na tume huru ya uchaguzi basi lazima sheria na kanuni za muundo na upatikanaji wa viongozi wa tume zibadilishwe na viongozi wa tume wapatikane wapya.
Sasa kwa muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu tunaweza kuyafanya haya na mengine yote?