Uchaguzi mkuu ujao tutatumia katiba hii hii. Amini, usiamini

Kwa hiyo hata uchaguzi ujao mkurugenzi wa Halmashauri (mteule wa CCM mwenye shati la CCM) ndo tutegemee atamtangaza mshindi wa nafasi ya udiwani na ubunge kutoka upinzani?
Hili ndio linatakiwa kurekebishwa kulinganisha na mda uliopo
 
Hatuwezi kubadilisha katiba kisa eti nyinyi hamshindi uraisi. Kumbukueni KERO ya watanzania sio nyinyi kwenda ikuluu.
Unaposema HATUWEZI unajinasibisha na nani? Usije ukawa umelewa??!! Rais Samia anataka katiba mpya, Chongolo Jana akiwa Iringa amesisitiza kuwa wanaccm wanataka katiba mpya, vyama vyote vya upinzani vinataka katiba mpya. Sasa wewe na nani mwingine hamtaki katiba mpya??
 
Katiba mpyaaa imetafutwa tangu 2014 kijana wanguuu, kwahiyo hili tunalo siku nyingi. Ninachokikataaa ni hizo mbwembwe zenu za kuituhumu katiba iliyopo eti haiwapii ushindi. Hao uliowataja umewahi sikia wakituhumu katiba hiii na kuigomea eti hawata shiriki uchagu zi mkuuu mpaka ibadilishweee?? Pamoja na kwamba viongozi hao uliowataja umeona wapiii shuguli za serikali zinasimama Kwa shinikizo la kutaka katiba mpyaaa?? Pamoja na mchakato ukiendelea wakutafuta katiba Bado uliowataja hajawahi zira zira chaguzi ya aina yoyote kama ngonjeraa zenu zilivyoo.
 
Unasema Katiba mpya itataka kuwe na Tume Huru, kwani hii ya sasa inasema tume sio huru. Fanya homework kwanza kabla hujaja kuweka vitu vya ukasuku humu ndani. Watu mnamezeshwa uongo na nyie hamtaki kusoma, kwani katiba ni siri?
 
Unasema Katiba mpya itataka kuwe na Tume Huru, kwani hii ya sasa inasema tume sio huru. Fanya homework kwanza kabla hujaja kuweka vitu vya ukasuku humu ndani. Watu mnamezeshwa uongo na nyie hamtaki kusoma, kwani katiba ni siri?
Shu0ghulisha ubongo wako kabla hujajibu comment hapa JF. Tume zote duniani hujiita kuwa ni huru, lkn wajuzi wa mambo huangalia upatikanaji, muundo na uwajibikaji wa tume ndipo hutoa hiimisho kuwa tume ni huru ama la!
 
Wewe ni sawa na ASKARI alie katika uwanja wa Mapambano, baada ya vita kukolea sana, ghafula akapata wazo,

Anasimamia na kumwambia Kamanda nyuma yake, TAFADHALI NIRUHUSU NIKAMUAGE MKE WANGU!!!!


Nikwambie Kweli!!!!

Uchaguzi wa 2025 niliuona ukiyeyuka!!!!!

Tusubiri.
 
Ndio hatutaki katiba la kukimbizana ,tutulie tuunde katiba Bora sio kisa Kuna mazumbukuku wanaharaka wanataka vyeo basi tukimbizane

USSR
Kama Kweli mko na Nia njema na Taifa!!!

1. Tubadili kifungu Cha Katiba kitachoondoa KINGA ya Rais, na Spika kutoshtakiwa.

2. Matokeo ya Urais yaweze kuhojiwa MAHAKAMANI.

3. MGOMBEA HURU aruhusiwe katika chaguzi zote zijazo ngazi zote.

4. Tume huru ya Uchaguzi iwe huru, wajumbe wasiteuliwe na RAIS Wala Mkurugenzi wa uchaguzi.

Tukibadili vipengele hivyo, twende ktk uchaguzi vizuri.
 
Tuiwekee viraka vya marekibisho hii hii Katiba ya zamani halafu mchakato mzima uanze baada Uchaguzi ili tuepuke Uchafuzi.
Katika mpya haizuii chochote kufanyika Kati ya hayo uliyosema.

Kenya kama mfano, pamoja na kusifiwa kuwa na katiba bora bado kwenye uchaguzi mkuu kila mara katiba mpya imeshindwa kufuatwa
 
Katika mpya haizuii chochote kufanyika Kati ya hayo uliyosema.

Kenya kama mfano, pamoja na kusifiwa kuwa na katiba bora bado kwenye uchaguzi mkuu kila mara katiba mpya imeshindwa kufuatwa
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…