Acha wajifie tu maana hawana msaada wowote kwa Taifa letu zaidi ya kuhamasisha ubaguzi na chuki kwa wananchi. Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono na kuwapa kuwaoa kura ya ndio katika sanduku la kura.
daima,
CCM ina mikakati na mipango imara sana ya kujitegemea, ya muda mfupi, muda wa kati na mrefu, ya kujizatiti kushika dola, kuunda serikali na kuongoza wananchi bila kutegemea mtu yeyote π
Mi nafikiri waunganishe nguvu kuwadhibiti hao vibaka wazoefu wa kura. Bila hivyo sisi wananchi tutakata tamaa kwenda kupanga foleni siku za uchanguzi na hii ndiyo furaha ya CCM. Ushindi wa mezani.