Pre GE2025 Uchaguzi mkuu ujao upinzani Tanzania uunganishe nguvu au wagombee hivi hivi kiholela kama kawaida?

Pre GE2025 Uchaguzi mkuu ujao upinzani Tanzania uunganishe nguvu au wagombee hivi hivi kiholela kama kawaida?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha wajifie tu maana hawana msaada wowote kwa Taifa letu zaidi ya kuhamasisha ubaguzi na chuki kwa wananchi. Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono na kuwapa kuwaoa kura ya ndio katika sanduku la kura.
 
Hata CCM inaangalia maslahi ya kikundi chake kidogo kikiongozwa na mungu mtu wao
acha upotoshaji 🐒

daima,
CCM ina mikakati na mipango imara sana ya kujitegemea, ya muda mfupi, muda wa kati na mrefu, ya kujizatiti kushika dola, kuunda serikali na kuongoza wananchi bila kutegemea mtu yeyote 🐒
 
Mi nafikiri waunganishe nguvu kuwadhibiti hao vibaka wazoefu wa kura. Bila hivyo sisi wananchi tutakata tamaa kwenda kupanga foleni siku za uchanguzi na hii ndiyo furaha ya CCM. Ushindi wa mezani.
 
..pia kuna vyama husimamisha mgombea Urais ili aje kuteuliwa Mkuu wa mkoa baada ya Ccm kushinda Urais.
siasa ni mipango na mikakati ya makusudi inayolenga kuyafikia malengo fulani mahususi ya kisiasa 🐒

hapana kwenda kiholela tu bila malengo kama wengine 🐒
 
Back
Top Bottom