Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 339
- 678
Leo ni jumapili, akili inapata muda mzuri wa kutulia na kuwaza mambo mengi. Hivi ikitokea kwa mgongano huu uliotokea wa serikali za mitaa na serikali ikaona kuna haja ya kuzungumza na vyama vya siasa vyote na kwenye mazungumzo hayo Serikali na vyama vya upinzani wakaondoa tofauti zao na kuamua mchakato uanze upya, je uchaguzi mkuu hauwezi kusogezwa hadi 2021?
Hii ni kwa kuwa kama mazungumzo yatafanyika hayawezi kuwa ya siku moja, it can take a while. Kwa misingi hiyo ninadhani uchaguzi wa serikali za mitaa unaweza fanyika mapema mwakani. Na ukifanyika mwanini ni lazima uchaguzi mkuu utasogea mbele ili kuipa tume muda mzuri wa maandalizi.
Wataalamu wa mambo haya hebu niondoeni matongotongo kwenye macho yangu kwenye hilo.