UCHAGUZI MKUU VS UWAZI WA VYAZO VYA FEDHA NS MATUMIZI

UCHAGUZI MKUU VS UWAZI WA VYAZO VYA FEDHA NS MATUMIZI

mwanamichakato

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
1,188
Reaction score
1,090
Tunaelekea na tumekaribia msimu wa uchaguzi pamoja na mwaka wa uchaguzi mkuu..

Halipingiki fedha ni chambo muhimu ktk kufanikisha uchaguzi ktk vyama na kwa wagombea udiwani,ubunge na urais.Lakini vyanzo vya fedha husika vyapaswa kuwa wazi ktk muktadha wa kuepuka fedha chafu,Za maadui wa kitaifa..Rushwa,ufisadi na uharamia.

Ktk mataifa yenye ukomavu wa demokrasia wananchi hususani wakulima,Wafugaji,Wanafunzi,Wafanyabiashara na wajasiliamali wamekuwa na uhuru wa kuchanga dhidi ya mgombea au mtia nia ktk kugombea..

Tunalo la kujifunza ktk kujenga na kuimarisha demokrasia bora na shindani kwa afya ya vizazi vya sasa na baadae.
 
Back
Top Bottom