2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3.
1. Katiba itabadilishwa.
2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa.
3. Vitanunuliwa vifaa vya kielektroniki vya kunakiri na kuposti matokeo toka vituo vya kupigia kura kwenda tovuti ya Tume:- Tanzania Integrated Election Management System (TIEMS).
Kama haya hayatatendeka mm nitakata tamaa na nchi hii na nitakuwa mtu mbaya sana. Na pengine nitakuwa muasi asiyedhibitika. Kwasbb nitakuwa Sina cha kupoteza na nitapandwa na roho mchafu wa "tukose wote".
Uchaguzi wa 2025 unapaswa kuwa wa haki na haki ionekane na kila mtu duniani Kama inavyoonekana pale Kenya.
Hii habari ya kutekana, kuondoana kwenye kinyang'anyiro kwa hila na fitina ifekabisa. Wasimaizi wa uchaguzi wawasaidie wagombea kujaza fomu na hata pakitokea makosa wasaidie kurekebisha makosa.