Kabisa ndugu yangu kuna watoto ni yatima sasa hivi sababu ya vita tu ya madaraka.Naunga mkono hoja 100%. Sasa amepata wabunge ataowataka. Aende tu akabadili katiba ili atawale milele. Uchaguzi ni kuharibu muda na pesa na watu 10 wamekwishakufa tayari. Kusingekuwa na haya maonyesho ya uchaguzi hao 10 wangekuwa hai leo hii.
Na nafikiri ndo lengo lake, ebu fikiria mbunge km wa karatu hawezi hata kuongea kiswahili bungeni anaenda kufanya nini??Naunga mkono hoja 100%. Sasa amepata wabunge ataowataka. Aende tu akabadili katiba ili atawale milele. Uchaguzi ni kuharibu muda na pesa na watu 10 wamekwishakufa tayari. Kusingekuwa na haya maonyesho ya uchaguzi hao 10 wangekuwa hai leo hii.
Hoja ya msingi sana, shida vyama vyetu vyingi vya upinzani waganga njaa, nilifikiri wangegomea uchaguzi hadi katiba mpya na tume huru ya uchaguzi zipatikane. Tunapotezewa muda na rasilimali.Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi.
Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya kijinga kama hii.
Ushauri wangu kwa vyama mbadala najua hakuna Mbunge wala diwani hata mmoja mtakayempata, sasa wekezeni nguvu zenu kuhangaika kuitafuta katiba mpya hii geresha ya uchaguzi kamwe hamtofanikiwa la sivyo hii ndiyo itakuwa alfa na omega kwenu.
Yaani vyama vya upinzani vikutafutie katiba mpya wakati wewe umetulia home na kulalamika Jamii Forums ?Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi.
Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya kijinga kama hii.
Ushauri wangu kwa vyama mbadala najua hakuna Mbunge wala diwani hata mmoja mtakayempata, sasa wekezeni nguvu zenu kuhangaika kuitafuta katiba mpya hii geresha ya uchaguzi kamwe hamtofanikiwa la sivyo hii ndiyo itakuwa alfa na omega kwenu.
Unafikiri wangegomea uchaguzi ingebadili chochote?Hoja ya msingi sana, shida vyama vyetu vyetu vya upinzani waganga njaa, nilifikiri wangegomea uchaguzi hadi katiba mpya na tume huru ya uchaguzi zipatikane. Tunapotezewa muda na rasilimali.
Umeongea ukweli ingawa unatufokea dah, acha tukomae na raisi wetu 10yrsYaani vyama vya upinzani vikutafutie katiba mpya wakati wewe umetulia home na kulalamika Jamii Forums ?
Kwa asilimia mia moja uzembe wetu wananchi unachangia uchaguzi kutokuwa huru na wa haki.
Leo mawakala wa vyama vya upinzani wanatolewa vituoni badala ya wapiga kura kugoma nyinyi mnaendelea kupiga kura nakuondoka kama hakijatokea kitu chochote kibaya.
Wa Malawi waliamua kulinda kura na kusindikiza masanduku ya kura sisi tunapiga kura tunarudi kulala na michepuko
Are we serious ?
Watanzania hatuko serious na haki zetuUmeongea ukweli ingawa unatufokea dah, acha tukomae na raisi wetu 10yrs