Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Huyo anayeandika "Amekizi vigezo" ni mtumishi anayelipwa na serikali?!
 
Nimejiuliza sana juu ya kinachoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa nimeshindwa kuelewa nini hasa malengo ya watawala kwenye uchaguzi huu.
Nimejaribu kuangalia nchi nyingi hasa za Ulaya na America ambazo zimepiga hatua kwenye maendeleo, uchumi,elimu, demokrasia n.k
Sijawahi kusikia kitu Kama hiki cha wagombea wa upinzani kuondolewa eti kwa kukosa sifa.
Haya ni maajabu ya kipekee sana.
TUMEKUWA TAIFA JINGA kwa hakika.
Ujumbe wangu kwa kila mwenye kupenda nchi yetu ajiepushe na ujinga huu unaotaka kulazimishwa na watawala.

TAIFA LETU AMANI YETU.
 
tena tumekua wajinga hasaaa...tunachezewa kama midoli na hatufanyi lolote...
 
Ni kweli, imefikia hatua hata mtu akiwa nje ya nchi anaona aibu kujitambulisha kuwa ni Mtanzania
CC:
Jiwe
 
tatizo wana mbwembwe Kama side chicks
Hivyo kupelekea Ku loose focus
 
 
Ni kweli, imefikia hatua hata mtu akiwa nje ya nchi anaona aibu kujitambulisha kuwa ni Mtanzania
CC:
Jiwe
Arafu tumekua waoga kweli Dunia inatushangaa kama kweli tuko sobar watu 55m wanapelekeshwa na watu 4 au 5. Humu kwenye million 55 kuna wasomi matajiri wakulima wakubwa Maraisi wastaafu watumishi wa Umma mapadiri ma sheikh nk.....hao watu wote wanaona ila wanaburuzwa na watu wawili tu kuna haja ya utafiti katika uelewa wa Watznia kwakweli wako normal na sense 5.
 
Naona kinachofanywa na utawala uliopo ni kujikweza kutaka kuwaonesha watu nje ya nchi kuwa wanakubalika kwa wananchi.
Ila kiuhalisia ni wanavunja katiba ili kuyapitisha wanayoyataka
Sasa kama mlihamasisha wanachama wenu wasijiandikishe kwenye daftari la wapigakura mnategemea mini? Cha ajabu eti tena huyo huyo mwanachama ambaye hakujiandikisha anakwenda kuchukua fomu ya kuomba kuwa kiongozi wakati Kanuni 13 (e) ya uchaguzi inasema mgombea lazima awe amejiandikisha!! Yaani wapinzani kwenye vichwa vyao unaweza fikiri hawana ubongo!!
 
Wewe acha uongo wanaolalamika hata million hawafiki wengi wanaikubali sana serikali ya awamu ya tano ndiyo maana hata mkipiga kelele mitandaoni watz wanawadharau tu. Ingekuwa watz wanawakubali lazima wangeingia mitaani ndiyo maana 2015 angalau kiasi fulani watz walikuwa wanawakubali wapinzani hasa baada ya Mh. Lowassa kujiunga upinzani. Sasa upinzani uko hoi bin tabani.
 
Mkuu uoga na umasikini na kukosa muamuko ndo vinavyo fanya wtznia wakae kimya kama unabisha weka mazingira ya uchanguzi huru uone jinsi wtznia walivyo chukia ila tu hamna namna
 
Mkuu uoga na umasikini na kukosa muamuko ndo vinavyo fanya wtznia wakae kimya kama unabisha weka mazingira ya uchanguzi huru uone jinsi wtznia walivyo chukia ila tu hamna namna
Wewe umejuaje hayo?
 
Mkuu ikiwa Mlima Kilimanjaro hadi leo uko Kenya na Serengeti iko hukohuko Kenya huku Tanzanite pamoja na jikuta lile bado inatoka India unathubutuje kujitangazia udanganyika?
Ni kweli, imefikia hatua hata mtu akiwa nje ya nchi anaona aibu kujitambulisha kuwa ni Mtanzania
CC:
Jiwe
 
Matokeo ya kikao kile kizito cha watendaji kata ndio haya.
Chadema kuamua kususia uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, mjiandae kususia na uchaguzi mkuu. Mziki utakaopigwa ndio huu huu.
 
Wakati mwingine nyie Wqseng€ huwa mnapenda kuwatafutia watu ban. Wewe umezoea kutiwa[emoji867]ndio maana unaropoka kama dushe lipi ndani.

Kwa akili yako unaona mambo yanayofanywa na ccm kwa kushirikiana na polisi ni sawa.

Mbwa wewe....
 
Chama hiki hakikujipanga kwa ajili ya ushindani hii ni kutokana na udikteta wa viongozi wao kuendesha chama, kila agizo linatoka kwao tu hakunà kushirikisha wanachama, tangu 2015 hakipendwi tena na wananchi.

Inakuaje taasisi kubwa hivi ikakosa intelejinsia ya kung'amua kuwa serikali itatukatia majina ya wagombea wetu na je? tufanyaje sasa ili wasitukate?....Hamkujipanga mlikurupuka kwenda vitani kwa kutegemea mtashinda bila kuwa na mbinu bora.

CCM ilishinda vita ndipo ikaingia vitani, nyie mmeingia kimachomacho tu bila kuwa na plani B, mnavuna mlichopanda 2015.
 
Mambo mengine yanaiaibisha Ccm yenyewe. wao kwa akili zao wanajiona wajanga kumbe chenga tupu.Hao wote waliogombea kupitia vyama vya upinzani nakuonekana hawawezi kujaza fomu ni wananchi wa hii nchi inayoongozwa na Ccm toka uhuru nakama niswala la Elimu na ujinga au werevu wote wameipata kupitia Sera na mfumo wa elimu uliosimamiwa na Serikali ya Ccm sasa inastaajabisha eti mgombea akiwa Ccm anaakili nyingi zakumwezesha kujaza fomu kwa usahihi ila wavyama vya upinzani ni mbumbumbu.Pamoja na kwamba mfumo wa elimu ni mbovu ila sidhani kama kuna wajinga wengi kiasi hicho wakushindwa kujaza fomu ambayo ata mtoto wa darasa la 4 anaweza kuijaza vizuri tu.Mambo mengine bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…