Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
.nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu
.mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani
. CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima .
.Kwa nchi yetu bado Social medias zina mchango mdogo sana kwenye masuala ya siasa , CHADEMA na upinzani mnapoteza muda huku wakati CCM wako bize mitaa kwa mtaa .
.tukiendelea hivi hata 2025 ni haya haya