Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Mitandao haipigi kuraMkuu, unawezaje kusema hatujajipanga? Kwani wewe huoni tunavyopiga porojo huku mitandaoni?
Hata mngejipanga miaka 6 bado tu ccm ingewafanyia mambo meusi. Kifupi ni kwamba chaguzi zinazoandaliwa na ccm haziwezi kuiondoa ccm madarakani..nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu
.mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani
. CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima .
.Kwa nchi yetu bado Social medias zina mchango mdogo sana kwenye masuala ya siasa , CHADEMA na upinzani mnapoteza muda huku wakati CCM wako bize mitaa kwa mtaa .
.tukiendelea hivi hata 2025 ni haya haya
Tuendelee kuamini tumejipanga ila CCM wanaiba na RushwaHao unasema wamejipanga pia kiukweli ni vurugu na rushwa kwa asilimia kubwa.
Wao pia wanalalamika kuhujumiana.
Penye maandalizi mazuri kiuchumi na kifikra hapawi na hizo vurugu
Marekani ndio walijiandaa. Hakuna wizi wala nini
CHADEMA na upinzani mnapoteza muda huku wakati CCM wako bize mitaa kwa mtaa .
Wakati mwingine mtu ukifilisika kisiasi kukaa kimya ni busara tosha.nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu
.mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani
. CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima .
.Kwa nchi yetu bado Social medias zina mchango mdogo sana kwenye masuala ya siasa , CHADEMA na upinzani mnapoteza muda huku wakati CCM wako bize mitaa kwa mtaa .
.tukiendelea hivi hata 2025 ni haya haya
Mtaeleza vyote.nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu
.mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani
. CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima .
.Kwa nchi yetu bado Social medias zina mchango mdogo sana kwenye masuala ya siasa , CHADEMA na upinzani mnapoteza muda huku wakati CCM wako bize mitaa kwa mtaa .
.tukiendelea hivi hata 2025 ni haya haya
kwani chadema na upinzani kwa ujumla mliwahi kujipanga kwa lipi gentleman?.nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu
.mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani
. CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima .
.Kwa nchi yetu bado Social medias zina mchango mdogo sana kwenye masuala ya siasa , CHADEMA na upinzani mnapoteza muda huku wakati CCM wako bize mitaa kwa mtaa .
.tukiendelea hivi hata 2025 ni haya haya
Uchaguzi wa mwaka huu upinzani watagalagazwa sana kwasababu CCM imetumia trick moja kali sana kuwawin vijana na akina mama, kwa sasa nchi nzima kuna zoezi la kutoa mikopo kwa vijana na wakina mama pamoja na walemavu na hili zoezi linaratibiwa na wajumbe wanyumba kumi, wenyeviti wa seikali za mitaa, madiwani wabunge na watendaji wa kata, vijana wako busy sana kwenye hizo shughuli za kuangaikia mikopo hiyo ya serikali na mnaambiwa kabisa msipo chagua mwenyekiti wa serkali wa mtaa mtaani kwenu wa chama hicho basi hamtapata mikopo. CCM ni wajuzi mara mia wakurubuni wananchi kuliko hata shetani. Na awamu ya kwanza yamikopo wamelenga ianze kutoka mwezi wa kumi nambili na hivi sasa fedha mitaani hamna TRA inafungia Account za watu wenye madeni nakukomba pesa zote kama umelimbikiza madeni. Siyo mbaya TRA kudai wadaiwa wenye madeni tatizo hizo fedha wanazo kusanya zinaingia katika mifuko iliyo toboka. Nchi hii kuna misafara mikubwa sana viongozi wanapokwenda kwenye shughuli zao za kikazi magari yanafika mpaka ishirini tena VB hizo fedha za posho na mafuta zingetosha hata kuongezea kwenye mfuko wa Rudhuku wa pembejeo. Mambo ni mengi sana, huwenda vyama vya upinzani wakapata kura yale maeneo tu ambayo watu wanajitambua, kama Mbeya, Arusha, kilimanjaro na Rukwa ila hii mikoa mingine hawataambulia kitu..nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu
.mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani
. CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima .
.Kwa nchi yetu bado Social medias zina mchango mdogo sana kwenye masuala ya siasa , CHADEMA na upinzani mnapoteza muda huku wakati CCM wako bize mitaa kwa mtaa .
.tukiendelea hivi hata 2025 ni haya haya
ccm imewahikujipanga lini na uchaguzi?kwani chadema na upinzani kwa ujumla mliwahi kujipanga kwa lipi gentleman?
Tangu lini chadema ikajipanga kwa jambo Fulani?🐒