KuraNa mvua hizi uache kulala zako ukapange foleni ya kupiga kura ambayo kwa vyovyote tu itapuuzwa
MmmhhhUnanichimba Kigori...
Miaka mingi iliyopita karibu 10.
Kazi zetu mamii za border to borderSababu hiyo ni ipi mkuu
To hell hata kama wangeweka zawadi ya gunia la mkaa kwa kila anayejiandikisha nisingejiandikisha...hii ni drama matokeo yanayo tayari naninaaa!Huku tukielezana kwa nini hatujajiandikisha. Kwa upande wangu mimi naona uvivu....hivyo tu
Wale 'wazalendo' pia karibuni
kumbe tupo wengimimi nilishasema sitaka nipige kura tena, toka nipigie kura yangu ya kwanza na ya mwisho 2015....,wanasiasa wote ni wanafiki tu,,,,,,,
na pia ni haki yangu ya ki demokrasia kutopiga kura,,,,,
ni ujinga kuchagua vitu vilivyopangwa tayari,,,,
Mpumbavu wewe na mtakaopiga kurapumbavu wote wanaosema hawatopiga kura