HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
2015 nilitumia zaidi ya lita 10 kufatilia kujiandikisha. Nikakaa juani. Kupiga kura nikakaa juani masaa 6 maana jina langu halikuwepo.
Afu mshenzi 1 akarudi huko huko.
Nitapiga kampeni watu wasipige kura 2020
Afu mshenzi 1 akarudi huko huko.
Nitapiga kampeni watu wasipige kura 2020
KuraNa mvua hizi uache kulala zako ukapange foleni ya kupiga kura ambayo kwa vyovyote tu itapuuzwa