Kwa hiyo umeshakubali 2025 uchaguzi mkuu utasimamiwa na Katiba hii tuliyonayo?
Ningekuelewa vizuri kama ungesema chaguzi zote mbili zihairishwe, hapo ulichofanya ni kama vile umeamua kuwapa CCM zawadi kubwa peke yao, halafu ile ndogo ukataka wagawane na wenzao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwanini unaona tukichanganya uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu, Tume Huru itaelemewa na majukumu yake?1. Kuna wanaosema tumechelewa kuunda Tume Huru haiwezi kuundwa mwaka huu [ 2024 ] na kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.
2. Kuna wanaosema uchaguzi wa serikali za mitaa ufanyike pamoja na uchaguzi wa Raisi, wabunge, na madiwani, kwa usimamizi wa Tume Huru.
Mimi kwa mtizamo wangu naona tukichanganya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu Tume Huru itaelemewa na kutuletea matatizo.
Kutokana na mtizamo huo ndio maana nadhani ni busara zaidi uchaguzi wa serikali za mitaa ukasogezwa mbele mpaka 2026 ili uweze kusimamiwa na Tume Huru.
Je, wewe maoni yako ni yapi?
Kwanini unaona tukichanganya uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu, Tume Huru itaelemewa na majukumu yake?
Kwasababu ya uchanga wake, au kuwa na watendaji wachache, au bajeti, skilled personnel au kitu gani kingine?
Mimi kwa upande wangu, nataka chaguzi zote mbili zihairishwe mpaka Tume Huru ipatikane, hili lifanyike kwa wakati na muda sahihi, huku kila mmoja akijua msimamo wetu kitaifa ni huu.
Muhimu kila mmoja akae kwenye position yake akijua uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa yote itafanyika kwa pamoja baada ya Tume Huru kupatikana, yafanyike maandalizi ya kuendana na hali hiyo ili muda ukifika, pasiwepo tena na hivi visingizio vya kutengeneza walivyovizoea kuja navyo kila mara.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Inawezekana kufanyika 2025 siku inayofuata baada ya Oct 30.
Wanashiriki uchaguzi chini ya tume hizi za ccm [emoji1]Kwa hiyo umeshakubali 2025 uchaguzi mkuu utasimamiwa na Katiba hii tuliyonayo?
Ningekuelewa vizuri kama ungesema chaguzi zote mbili zihairishwe, hapo ulichofanya ni kama vile umeamua kuwapa CCM zawadi kubwa peke yao, halafu ile ndogo ukataka wagawane na wenzao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tamisemi ni wakina nani..Tume Mpya Huru ya Uchaguzi itakuwa bado changa.
..Tusiibebeshe mzigo mkubwa ktk wakati mfupi.
..Hii option niliyopendekeza inazima hoja ya kulazimisha uchaguzi ufanyike 2024 na usimamiwe na Tamisemi.
Tamisemi ni wakina nani
[emoji1] si hao hao ccm
Ova
Ni sawa kwa mtazamo wako...mtizamo wangu toka awali ni uchaguzi wa Raisi kutenganishwa na chaguzi zingine.
..pia Bunge likiwa ni mhimili unaojitegemea kwelikweli hakutakuwa na haja ya uchaguzi wa Raisi kufanyika wakati mmoja na uchaguzi wa bunge
Na katiba hii hiiWanashiriki uchaguzi chini ya tume hizi za ccm [emoji1]
Alafu badaye wanaanza kulalamika
Ova
Na katiba hii hii
Nimekuelewa, je hayo yatawezekana ? Natamani kujua maoni na mapendekezo ya muundo wa hiyo Tume Mpya Huru na utendaji na uwajibikaji wake..hapana.
..Tume Mpya Huru.
..Katiba iliyofanyiwa marekebisho madogo yanayowezesha uundwaji wa Tume Huru.
Naunga mkono hoja..Tamisemi ni CCM.
..Mimi napendekeza Tume Mpya Huru iwe tayari kwa uchaguzi mkuu wa 2025.
..Uchaguzi wa serikali za mitaa uahirishwe mpaka 2026 ili uweze kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya uchaguzi.
Nimekuelewa, je hayo yatawezekana ? Natamani kujua maoni na mapendekezo ya muundo wa hiyo Tume Mpya Huru na utendaji na uwajibikaji wake