Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Unataka nchi ivunje katiba?Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026?
Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi.
Nadhani Watanganyika tusiwaige Wazanzibari kufanya chaguzi zote kwa wakati mmoja.
Nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na Zanzibar.
Halafu sijui ni ukosefu wa elimu au kujifanya shingo ngumu tu.
Mambo ya Serikali za mitaa siyo mambo ya Muungano. Zanzibar hawana serikali ya Muungano. Kuitaka Tume ya Uchaguzi Mkuu ianze kusimamia Chaguzi za Serikali za mitaa ni kuondoa kabisa Sera ya D by D (decentralization by devolution).
Ni Muhimu kuweza kujua Concept ya Serikali Kuu na Serikali za mitaa.
Nakuomba upitie hapa kidogo upate concept
Mimi kwa kweli nimeamua kuwaelimisha watu wote humu.