LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa ufanyike 2026. Je, kuna madhara yoyote?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Unataka nchi ivunje katiba?
Halafu sijui ni ukosefu wa elimu au kujifanya shingo ngumu tu.

Mambo ya Serikali za mitaa siyo mambo ya Muungano. Zanzibar hawana serikali ya Muungano. Kuitaka Tume ya Uchaguzi Mkuu ianze kusimamia Chaguzi za Serikali za mitaa ni kuondoa kabisa Sera ya D by D (decentralization by devolution).

Ni Muhimu kuweza kujua Concept ya Serikali Kuu na Serikali za mitaa.
Nakuomba upitie hapa kidogo upate concept


Mimi kwa kweli nimeamua kuwaelimisha watu wote humu.
 

..sipendekezi kuvunja katiba.

..napendekeza yafanyike mabadiliko madogo ya katiba ili kuwezesha mapendekezo yangu.

..sera ya D by D ni nzuri lakini kuna changamoto katika usimamizi na uendeshaji wa chaguzi za serikali za mitaa.

..sio sahihi kwa chaguzi za serikali za mitaa kusimamiwa na waziri na makada wa chama kimojawapo kinachoshiriki uchaguzi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…