UCHAGUZI south Africa

UCHAGUZI south Africa

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
7,808
Reaction score
16,972
Matokeo ya uchaguzi yapo hadharani, dunia nzima inaona, kupitia Vyombo vya Jabari, BBC na Al Jazeera,
Sasa tunataka ma CCM, yanayodai ANC ni chama rafiki Yao, watuambie, kwenye uchaguzi wa 2020,walipata ngapi, samia na yule shetani wa chato,
 
Hapa kwetu mwenyekiti wa ccm analazimisha kuwa ndio muundatume ya uchaguzi. Na matokeo ya uchaguzi lazima yapitie tume ya uchaguzi kwanza ambayo imeundwa na mwenyekiti wa ccm.
 
Back
Top Bottom