Tetesi: Uchaguzi Tanzania kusogezwa mbele

Tetesi: Uchaguzi Tanzania kusogezwa mbele

Aisee
ETZx0ZMXsAAJvzn.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeitukuza weee Corona na kweli imeitika na imekuja katika utukufu wake wote kabisa na imealika dada zake, kaka zake, binamu zake, wakwe zake nk. Hii habari ya kuahirisha uchaguzi ni lango la mabalaa mengine ya kisiasa.
Mdororo wa uchumi unaotikisa dunia na sisi tutasikia kishindo chake kwa nguvu tu, vifo navyo vyaja nk.

This is how the principles of the law of attraction work...like attracts like...
 
Naomba kuuliza, ikitokea uchaguzi umesogezwa mbele na kufanyika kwa mfano 2021, je uchaguzi utakaofuata utakuwa 2025 au 2026 ?
 
Back
Top Bottom