Tetesi: Uchaguzi Tanzania kusogezwa mbele

Tumeitukuza weee Corona na kweli imeitika na imekuja katika utukufu wake wote kabisa na imealika dada zake, kaka zake, binamu zake, wakwe zake nk. Hii habari ya kuahirisha uchaguzi ni lango la mabalaa mengine ya kisiasa.
Mdororo wa uchumi unaotikisa dunia na sisi tutasikia kishindo chake kwa nguvu tu, vifo navyo vyaja nk.

This is how the principles of the law of attraction work...like attracts like...
 
Naomba kuuliza, ikitokea uchaguzi umesogezwa mbele na kufanyika kwa mfano 2021, je uchaguzi utakaofuata utakuwa 2025 au 2026 ?
 
Zilizovuja ni kuwa Meko amecopy kwa dikteka mwenzake Museveni kusogeza uchaguzi mbele.

Ila tunawakumbusha mataga,
tutadai tume huru mpaka itakapopatikana
meko tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…