Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Hata Lisu mwenyewe anafahamu kuwa hatashinda ndio maana akaandaa tiketi kabisa,

Yeye kaja kutalii tu, akishamaliza lake huyoo anarejea belgium.
Ni kweli kabisa, ndio maana hata viongozi wake kila mtu yupo busy kupambana uhai wake kwenye jimbo wamemuacha anadhurura pekee yake!
Na ndio maana wameshakueleza kulia lia oooh tutaibiwa, wanaijua kitakachowakuta, wanatengeneza Mazingira ya kusingizia kuibiwa!
 
Hakika tarehe 28 oktoba watz tunaenda kuamua kwenda na JPM safari hii vijana hatutaki kutumika Tena kudhoofisha nchi yetu wenyewe
 

Upinzani si ulishakufa?
 
Bado hajaanza kugalagala chini?
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Hata Mimi najua hivyo! Sasa ni hivi ashinde Magufuli ama ashinde Lissu kuingia barabarani lazima, Either kwa furaha ama kwa Shari!.
 
Yaani hii chadema itakufa kabisa .
Halima mdee
Lema
Bulaya
Mbowe
Matiko ester
Sugu
Haule mikumi
Hawawezi kushinda ubunge
Sasa je watafanya kazi gani maana watakuwa hawana hela na hela zote zimeishia kwenye kampeni ,wataanza kulia njaaa na hapo mifarakano kwenye chama itapoibuka
2) kama msigwa akishinda ubunge watakuwa wanaenda kukopa hela kwake na msigwa ayachukia ataona analemewa
Hapo ndo itakuwa shida kubwa



Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
Hayo uliyoyasema ya kweli au ni unayotaka yawe. Achana na uongo fuata ukweli. Uongo hauvutii kura.
 
Kituko wapi kwa watu wapi wamekubali uwasemee wewe? Hakuna sehemu Lisu atashindwa hata NECCCM Tumeccm waibe kura vipi, mungu kaamua CCM bye bye miaka 59 Tanzania hakuna maendeleo
 
Huu ni utabiri wa vijiweni wa kujifariji pasipo kujua kuwa mwaka 2020 upo kivingine Duniani kote hawataki CCM tena
 
Tayari ICC wanao majarada ya NECCCM Tumeccm na Polisiccm mezani kwa kosa la kuingilia kampeni kuipendelea CCM bila Aibu
 
Sasa huongea kwanza ndipo wasanii hupiga show maana waligundua show zikianza kabla watu huondoka pasipo kumsikiliza mtukufu magufuli
 
Nilikuwa napenda tuendelee kuheshimu katiba kuhusu vipindi vya urais lakini ujinga na upumbavu ulioonyeshwa na baadhi ya watu humu imenifikirisha kuwa pengine tufanye marekebisho ya katiba ili JPM aendelee hata baada ya 2025
Wewe ni mnufaika wa unyanyasaji uonevu uovu kwenye utawala huu blackmail zote za kuwabambikia kesi wafanyabiashara wakubwa wewe ndiyo mratibu mkuu ndiyo maana unataka mtukufu kaburu Mkoloni mweusi atawale milele ili uendelee kujinufaisha kupitia udikiteta wake
 
Watanzania wa wapi unawasemea? Labda watanzania wa hapo gheto kwa cyprian Musiba lakini watanzania wa mwaka 2020 wameamka wapo kivingine zile propaganda za CCM za miaka yote hawazitaki kabsa, mwaka 2020 ni mwaka wa laana kwa CCM hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Lumumba Pushup Veepe!!! naskia kunamtu zilimuweka madarakani 2015 imekuwaje tena anapepewa na feni Ha ha ha ha haaaa!!!
_________________________________________

28 OCTOBER Chagua

Tundu Antipas Mughwai Lissu
Raisi wa Chuma, The Iron President

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE REAL KINJEKETILE BULLET CONDENCER
 
Wameshakueleza, hakuwa na ratiba ya mkutano hapo. Anataka kuongoza Nchi halafu hataki kuheshimu Sheria zilizotungwa na Watanzania kipitia Bunge lao
Mbona magufuli kuwabambikia kesi kesi hujawahi kusema anavunja Sheria na katiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…