Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Kumbe niko nabishana na tahira hapa. Iam off!
 
Kumbe niko nabishana na tahira hapa. Iam off!
Wapi nabishana na wewe? Huo muda wa kubishana na mlemavu wa akili naupata wapi?
Wewe ndio umekurupuka kuja kujibu, sasa taahira ni nani hapa? Kwanza umeanza kuamini kila anayeipinga CCM ni upinzani ndio maana nikasema CCM kuna wajinga wengi ukiwa mmojawapo.
 
Si mlisema upinzani umekufa, naomba comment yako!
 
Si mlisema upinzani umekufa, naomba comment yako!
Kuna sehemu nimesema upo hai kwani!? Read me btn lines Mzee wangu. Wewe hivo vituko vinavyoendelea huko vinakupa picha ipi!?
Anyways nashukuru kwa kufika kwako kwenye Uzi wangu maana si kawaida yako Uzi wangu kupita bila wewe kutia neno, teh teh teh teh
 
Kwa hiyo mishahara ya waalomu na mafao ya wazee yataongezwa
Ndiyo kiongozi, Mhe.JPM ameahidi baada ya kuweka sawa msingi sasa anakuja na ustawi wa wananchi! Kwanza ilikuwa kukuza uwezo wa Serikali, miundombinu ya kimkakati , huduma za msingi za jamii ikiwemo afya, elimu, maji nk. Sasa ni kujenga juu ya hayo mfano Bima za Afya, mafao, madawa na vifaa tiba (ndani ya hospitali siyo kwenye mwembe) nk
 
Anzisha wewe tuone unapata ngapi. Wewe si unasema Mimi nimekurupukia komenti yako, kumbe hujui wewe ndiye umekurupukia Uzi wangu. Mikumi Oyeee[emoji41][emoji41][emoji41]
Yaani unaona kuazisha uzi nako ni jambo la maana sana? Aisee kweli vita ya ujinga bado ni ngumu mno.
 
SABABU 31 ZA KUMKATAA MAGUFULI 28 OKTOBA 2020:

1. Hajatoa ajira miaka 5
2. Hajaongeza mishahara kwa miaka 5
3. Ameongeza makato HESLB toka 8% to 15%
4. Amefukuza wafanyakazi na hajawapa hata senti tano kisa vyeti feki
5. Kaondoa fao la kujitoa NSSF
6. Kaondoa wanunuzi binafsi wa kahawa waliokuwa wanatoa bei nzuri
7. Karudisha gharama za matibabu kwa watoto na wajawazito
8. Anatoza maiti kodi kuzitoa mochwari
9. Kavunja katiba ya nchi kuzuia wapinzani kufanya mikutano halali ya siasa
10. Katunga sheria kandamizi kukomoa watu
11. Kabambikia kesi watu kwa visasi na chuki
12. Kafilisi wafanyabiashara kwa chuki binafsi
13. Kathibiti mashirika ya kutetea haki za binadamu
14. Kadhibiti na kutisha vyombo vya habari na kuviamrisha vimtangaze yeye tu na chama chake
15. Kavuruga sana mahusiano ya kimataifa
16. Kavuruga demokrasia na anataka wananchi waishi kama mifugo yake kufuata analotaka
17. Kazima bunge live na kulitumia bunge kama muhuri kufanya mambo yake
18. Mahakama imebinywa na imekuwa siyo huru tena
19. Kawadhibiti viongozi wa dini wanaomkosoa na kumwambia ukweli
20. Kanunua ndege bila kufuata sheria ya PPRA
21. Watu wengi wameuwawa na kupotea na kutekwa
22.Amelea na kulinda kikosi kazi cha "watu wasiojulikana"
23. Amepandikiza hofu,ukatili na dhuluma kama nyenzoza siasa mpya za Tanzania na utu umetoweka
24. Kakivuruga chama chake na kukimega vipande vipande
25. Kajenga uwanja wa ndege kwao bila ya approval ya bunge wala cabinet
26. Alisema tutaishi kama MASHETANI.. Kwa madai kuwa tulikuwa tunaishi kama Malaika. Hakika amelitimiza hilo.
27. Kuwa na kundi la watu wasiojulikana awamu hii ya tano na polisi hawajawai

28. Ni mwongo kupindukia – mwaka 2015 wakati anaomba kura aliongopa mengi km kumpa kila mwalimu kompyuta, kukipa kila Kijiji milioni 50 nk. Leo hii tunaingia uchaguzi mwingine, hajatimiza hayo na anaahidi mapya bila aibu.

29. Kudhalilisha akina mama kwenye majukwaa yake ya kisiasa

30. Kula rambirambi za wahanga wa majanga. Rais anayekula rambirambi zilizotolewa na watu mbalimbali ikiwemo nchi rafiki hatufai Watanzania.

31. Kuwakana Watanzania waliopata majanga km Wanakagera wakati wa tetemeko la ardhi.



 
Serious lissu alikosea hesabu kumtanguliza amsterdam na the hague kwenye hii battle, wengi tunamchukulia kama dalali wao kwetu
Kweli kabisa! Hata kutembea Nchi mbalimbali kuomba zisiisaidie Tanzania ikiwemo Marekani, kutuhadaa kuwa hatutashinda vita vya kutetea raslimali za Taifa kama madini ,makeniakia wakati juma hili tumepata gawio, kupinga kila kitu wakati anapita kwenye lami, kutumia umeme, ndege, viwanja nk vilivyojengwa na Serikali za CCM. kwa ujumla anatumika na mabeberu ili tusishinde vita vya kiuchumi. Lissu na chama chake walitaka tujifungie (lockdown ya COVID-19) ili uchumi wetu uanguke ashinde kirahisi.Ningemuelewa angeacha kupiga kampeni akatumia mitandao ili kuepuka maambukizi ya COVID-19. Kwa ujumla hawaishi wanayoyaamini na kuhubiri!
 
Ndiyo maana hakuwa na huruma na watumishi wa umma kwa hii miaka 5
 
Bora sema wewe, tukisema sisi, tutanyooshewa vidole vya Makada!.
P
Acha waendelee kujipa moyo mkuu ila ndani ya nafsi zao wanajua fika hawataing'oa ccm madarakani, ndio maana mgombea wao ana tiketi ya ndege trh 30 oct. Kaja kuvuruga aman kisha asepe zake majuu atuachie majanga lkn hilo halitatokea kamwe!
 

Wajinga kama werevu, hakuna siku wataisha. Kama ilivyo kwa chochote kizuri mungu huwa hatoi kwa wengi, na hii ni dunia yote na kila wakati.
 
Acha uongo, mimi na familia yangu ni watz na tutamchagua anko magu hatutaki ujinga
 
Vipi kuhusu haki uhuru na demokrasia?
 
Acha waendelee kujipa moyo mkuu ila ndani ya nafsi zao wanajua fika hawataing'oa ccm madarakani, ndio maana mgombea wao ana tiketi ya ndege trh 30 oct. Kaja kuvuruga aman kisha asepe zake majuu atuachie majanga lkn hilo halitatokea kamwe!
Teh teh teh, na hizi ndoto huwa wanazo kila Uchaguzi tangu 2010
 
Atapita JPM na wabunge wote watakuwa wa CCM.
Huku tukisuburi maendeleo makubwa mno..baada ya hapo tutamwongezea tena mitano 2025.Kwanini tupate shida maisha mepesi haya.
 
Mbona alidhihirisha kuviogopa kwa kuvinyima uhuru wa kujijenga. Sasa kamasi zitamtoka
 
Atapita JPM na wabunge wote watakuwa wa CCM.
Huku tukisuburi maendeleo makubwa mno..baada ya hapo tutamwongezea tena mitano 2025.Kwanini tupate shida maisha mepesi haya.
Teh teh teh, wape habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…