Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Attachments

  • Bean 1.jpg
    Bean 1.jpg
    3.9 KB · Views: 2
Usiseme nyie, kama umeona ni fahari kunitukana basi nitukane mimi kwani haya ni maoni yangu ambayo sijajadili na mtu.
Naamini nina uhuru wa kutoa maoni yangu kitu ambacho wewe haukipendi
. Ila panic yako inaonyesha ni kiasi gani umezidiwa ndo maana unatokwa povu.
Mnafana kila kitu. Tunawatukana kwa sababu hiyo ndiyo silaha yenu dhidi ya e wale wasiowaunga mkono. Kwahiyo dawa ya Moto huwa ni Moto!
 
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
Kwa hayo yote tume, polisi na wakurugenzi, Sasa mtashindaje wakati umeshapata sababu za kushindwa?
 
Nilikuwa napenda tuendelee kuheshimu katiba kuhusu vipindi vya urais lakini ujinga na upumbavu ulioonyeshwa na baadhi ya watu humu imenifikirisha kuwa pengine tufanye marekebisho ya katiba ili JPM aendelee hata baada ya 2025
Mungu mkubwa wenye kuona mbali tunazidi ongezeka. Tukitoka hapo tuje kwenye dini.

MAGUFULI4LIFE.
 
Delete CCM oct.28. Lissu ndio rais tunayemtaka. Hao watakayemtaka Tume ya Uchaguzi hatumtambui,
 
Yaani chadema Kama chama kikuu Cha upinzani kimepoteza muelekeo,huwezi kuwaaminisha watu eti utashinda urais na wakati wagombea ubunge na madiwani hawana muelekeo, utashinda vp Kama cibangi hizo? Hata Kama ukishinda bado Hawa wenye wabunge wengi watawapelekesha tuuu kiufupi vyama vya upinzani mnatimiza wajibuu Hapo.
Mbowe alitangaza Nia baada ya kuona mziki wa Magufuli akaingia mitini na Wala Hana haja ya kupoteza muda wake kushughulika na Amsterdam na Lissu, katulia kimyaaaaa.
 
Mi ni yule mkulima wa korosho, mmachinga, mwanafunzi niliemaliza elimu ya Juu na nina deni la HSLB, mfanyakazi wa serikali na mwana familia ya Ben Sanane na Azory Gwanda

Natumai wewe utakua kibaka wa CCM chini ya jambazi mkuu John Pombe Joseph Magufuli (meko)
Chadema hawajashika dola na wamepoteza wengi .... Wangwe, yule mkulima wa kilombero aliyekuwa anagombea shamba na Mbowe, Ben saa8, mmempiga Lissu risasi Sasa viongozi wamemsusa hawamsaidii kukampeni nk.
 
Mwingine anasema asiposhinda ataingiza watu barabarani, mwambieni huko barabarani aingie yeye na mke wake - Ihiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
Naskia watoto wake wako Ubelgiji. Wajinga ndio waliwao!
 
Chadema hawajashika dola na wamepoteza wengi .... Wangwe, yule mkulima wa kilombero aliyekuwa anagombea shamba na Mbowe, Ben saa8, mmempiga Lissu risasi Sasa viongozi wamemsusa hawamsaidii kukampeni nk.
Bila kusahau Zitto alinusurika baada ya kupewa sumu. "Chacha Wangwe died, I won't"
 
Chadema hawajashika dola na wamepoteza wengi .... Wangwe, yule mkulima wa kilombero aliyekuwa anagombea shamba na Mbowe, Ben saa8, mmempiga Lissu risasi Sasa viongozi wamemsusa hawamsaidii kukampeni nk.

Wanafanyiana wenyewe halafu wanasingizia wengine
RIP Wangwe

Ila hawajamsusa kwenye kampeni wamegundua hashindi yanini wapoteze resources mahali pasipokua na faida?
 
Hoja zako ni mfu.

Ccm inabebwa na mfumo yaani katiba wala si utendaji.
Kama ulivyosema cdm inabebwa na lissu uchaguz huu ila kumbuka Msingi ulijengwa na Watu wengine pia wapo waliopoteza mpaka maisha na bado mbowe Aeiinua mpaka leo UNAITENGENEZEA HOJA HAPA.

Ukizungumzia wabunge kukosa nafasi basi kwa akili yako finyu ndy unajua kinakufa kumbuka UPINZAN WALIGOMEA UCHAGUZ WA MARUDIO ZANZIBAR 2015 NA BADO WATU WAPO WANALIAMSHA DUDE NA NI TISHIO KUBWA TENA.

UCHAGUZ WA MITAA HAWAJASHIRIKI NA MWAKA UMEKATA WANANCHI HAWAONI TOFAUTI SEMBUSE KUKOSA HAO WABUNGE KADHAA.

WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO WASIPOYAONA CCM WANATAFUTA HUKO KWINGINE. UCHAGUZI HUU UNAWEZA KULETA MABADILIKO MAKUBWA SANA HAUTAISHA KAMA ZILE ZA MAMLUKI WA CCM SLAA, MREMA,LOWASA NA LIPUMBA.
 
Nice try though!
 
Back
Top Bottom