Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Chama hujifuta chenyewe kinapokosa wanachama ama kikashindwa kufanya chaguzi za Kikatiba. CHADEMA kitakufa chenyewe na anayekiua ni Mbowe, mwenye chama
Kabisa Umeona Wapi chama kinakuwa si Cha wanachama bali chama cha mtu
 
Mkuu ZZK, Zitto , pokea baadhi ya nondo, zipime, mkiona zina sifa, zijumuishe katika maazimio ya kikao chenu cha TCD, leo yanayokabidhiwa Kwa kile kikosi kazi, yatue mezani Kwa Mama, ili sheria zifanyiwe mabadiliko kabla ya uchaguzi wa 2025.

Waliosusa waacheni wasuse, maana kama awamu ya 5, la katiba lilikuwepo kwenye ilani ya CCM, na hatukumlazinisha JPM kubadili katiba, sasa la katiba halimo kwenye ilani ya Samia, hivyo kumshiza au kumlazimisha Samia kukamilisha mchakato wa katiba mpya ni kumuonea!. Tunaweza kubadili baadhi ya sheria kandamizi na kuvibadili baadhi ya vipengele kandamizi vya katiba iliyopo, kuwezesha uchaguzi wa 2025, kuwa ni uchaguzi huru na wa haki, halafu mchakato wa katiba mpya ukaendelea, Kwa nafasi baada ya 2025.

Paskali
 
Huna akili kabisa wewe!
Kwani Kikwete alipoanzisha mchakato wa Katiba ..ilikuwepo kwenye ilani?
Halafu nani kakwambia Katiba mpya ni takwa la CCM,kwamba ili mchakato uanze au Katiba iandikwe lazima iwepo kwenye ilani ya CCM?
 
Paskal. Haya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…