Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mshaanza kumbwela sio,Malinzi anaenda kushinda kutokana na utendaji wake uliotukuka wa kuokoa soka letu na kulipeleka mbele zaidi.Pccb wakae mkao wa kula kama uzi wako utakuwa sahihi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshaanza kumbwela sio,Malinzi anaenda kushinda kutokana na utendaji wake uliotukuka wa kuokoa soka letu na kulipeleka mbele zaidi.Pccb wakae mkao wa kula kama uzi wako utakuwa sahihi!
Kwa kuwa macho na ubongo wako vimetaliwa na chuki,wivu,ukabila na uYanga hutaweza kuona kamwe alichokifanya Malinzi.Hajafanikiwa kuipandisha tz kisoka!!
Akacheze uwanjani au simba msajilini maana msimu huu mmeamua kusajili Maveterani.Mayai ndio anaujua Mpira...
Na wewe unataka posho?Naona mnakuja kwa kasi kwa hiyo sasa iv ndo mnaona malinzi anafaa posho tayari nn?
Stars kuna walichokosa mpaka kufanya vibaya au mlitaka Malinzi aingie uwanjani acheze au ndio maana mnamtaka mayai ili awe anaingia uwanjani na kucheza?Upuuzi mtupu, stars ya ngapi fifa ranking??
Ndio maana yake tumpe muda amalizie yale mazuri aliyoanzisha hasa program za vijana na Watoto.Kwa hiyo unataka kuniambia bora kubaki na malinzi??
Mayai ataibeba Simba?Ww kweli retired ili aendelee kuibeba Yanga co?
Utapata stroke kwa chuki na wivu.Malinzi out. Hatuwwtaki wahaya kwenye soka.
Hawajui kitu kabisa.
Weka CV yake hapa.To me Ally mayai suits to be TFF's president