UCHAGUZI TFF: Rais bora kabisa Jamal Malinzi kuendelea na wadhifa wake

UCHAGUZI TFF: Rais bora kabisa Jamal Malinzi kuendelea na wadhifa wake

Wapuuuzi watupu hapa nikajua mnaelewa mnachoongea kumbe LILA NA VIRA...! UYANGA NA USIMBI SHAME ON YOU...
 
Malinzi bado anatufaa sana ktk soka letu. Amefanya mengi mazuri, me ntabainisha machache hapa.
1. Mpira wa miguu sasa unachezwa wilaya zote nchini

2. Amefanikiwa kurudisha ligi kuu ya wanawake

3. Chini ya uongozi wake, tz sasa inawaamuzi zaidi ya 40 wenye beji ya fifa

4. Ameboresha ubora wa mashindano ya kombe la shirikisho kwa kutafuta udhamini na mshindi wa kombe hlo ndio muakilishi wa nchi kombe la shirikisho

5. Serengeti boys wamecheza afcon kwa ubora kabisa

Kuna mengine mengi, leo acha niishie hapa. Tumpe nafasi nyingine ili atekeleze yale machache yaliyobaki. Kama tulivyo binadamu wengine, naye anamapungufu yake. Lakini faraja yangu kubwa ni kuwa, mapungufu yanarekebishika. Ni kumueleza tu kuwa umekosea hapa na pale...
 
Back
Top Bottom