elfu 5 na ushee toa tamisesemi kama 230 shamwene unajisumbua hata mnayempigia upatu na yeye atapiga kura yake ampe lusuHapa nadhani uelewa wa mawakili unatakiwa zaidi.Amini usiamini ikiwa mawakili wa serikali watahudhuria kiujumla wao na kama tunavyojua watu wa serikali wanatetea ugali wao ni dhahiri kura za wagombea zinaweza kuangukia kwenye mteule wa mkuu. Jumla ya halmashauri zote ni zaidi ya mawakili100 hivyo tukaze moyo.
NB : na haka kabarindi mwenyeji wangu ananiambia twende kijenge baadaye eneo la tindiga tukawashe kitu cha Bob.
Nakumbuka enzi nasoma Milambo miaka ya 85 nilikuwa napata Sana hii kitu
Watashindwa vibaya sana ! Pigo kubwa ni kufanyia uchaguzi huu Arusha , njama zote zimedhibitiwa na " askari wa kujitolea "Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni siri,msikubali kuelekezwa.
Mkutano utafanyika ukumbi wa jiji
TLS hakikisheni usiri mkubwa unakiwepo kuwalinda hawa na ajira zao
Maoni: huu ni uchaguzi wa TLS tu,2020 itakuwaje?
Wajumbe ni wangapi kwani mkuu?Hapa nadhani uelewa wa mawakili unatakiwa zaidi.Amini usiamini ikiwa mawakili wa serikali watahudhuria kiujumla wao na kama tunavyojua watu wa serikali wanatetea ugali wao ni dhahiri kura za wagombea zinaweza kuangukia kwenye mteule wa mkuu. Jumla ya halmashauri zote ni zaidi ya mawakili100 hivyo tukaze moyo.
Acha povu mkuu kila kitu serekali inagharamia mkuu!!Kwani huko Arusha kuna jando na unyago mpaka waende kufundwa..?? Na ndio maana fikra finyu hizo mkiambiwa tutawageuza kuwa NGO ili mfanye kazia za "advocacy" mnaanza kutokwa tokwa povu jingiii..... maana huu ni uzushi
wa mchana kweupeee...
nikikuuliza , nani facilitators na sponsors wa mafunzo hayo ya jando na unyago (maana umesema wanaenda kufundwa) , nitajie wanachama au mawakili hao wa serikali, muda ambao mwatafundwa(kama ulivyyosema) , ukumbi wataofundwa, mada watazofundwa, lengo la kufundwa, etc maswali ni mengi sana , kwa sasa nakuachia hapa ili ukitoka ufipa nikuendelezee dozi.
wewe akili yako haiko sawa, aliyeleta taarifa hiyo hapa ndio anapaswa kuthibitisha ukweli wake and not me....Thibitisha kama anasema uwongo kwa kuuweka ukweli hapa.
Kwahiyo ata uchaguzi wa ufipa serikali inagharamia..?Acha povu mkuu kila kitu serekali inagharamia mkuu!!
Nyaraka kamuulize bibi yako?Kwahiyo ata uchaguzi wa ufipa serikali inagharamia..?
Je waweza nionyesha nyaraka ambazo zinathibitisha serikali kushiriki kuandaa uchaguzi wa TLS..?
Utampigia?Tundu Lissu for TLS
Hapa nadhani uelewa wa mawakili unatakiwa zaidi.Amini usiamini ikiwa mawakili wa serikali watahudhuria kiujumla wao na kama tunavyojua watu wa serikali wanatetea ugali wao ni dhahiri kura za wagombea zinaweza kuangukia kwenye mteule wa mkuu. Jumla ya halmashauri zote ni zaidi ya mawakili100 hivyo tukaze moyo.
Usiseme MILAMBO, sema SHULE YA WANAUME MILAMBO.
Nasikitika sana mwanume mwenzetu Mwakyembe anatuangusha sana yaani...!!
Kwani mkuu hujui kuna wale watu ambao wanajitoa mhanga. Kwa Mwakyembe hata watanzania wote wakiwa Jela kwake ni jambo zuri tu kwani maisha yake ya sasa sio mazuri tokea alishwe sumu.
tafakari...!!
Kwani hapa juzi kati wabunge wa chama fulan hawakufundwa wakome kushirikiana na wabunge wa mrengo mwengine? Tena wamefundwa na mkuu wao na wameambiwa hakuna cha matatizo wa raha marufuku, ukibainika unaletaleta udugu, basi wewe utakua msalitiKwani huko Arusha kuna jando na unyago mpaka waende kufundwa..?? Na ndio maana fikra finyu hizo mkiambiwa tutawageuza kuwa NGO ili mfanye kazia za "advocacy" mnaanza kutokwa tokwa povu jingiii..... maana huu ni uzushi
wa mchana kweupeee...
nikikuuliza , nani facilitators na sponsors wa mafunzo hayo ya jando na unyago (maana umesema wanaenda kufundwa) , nitajie wanachama au mawakili hao wa serikali, muda ambao mwatafundwa(kama ulivyyosema) , ukumbi wataofundwa, mada watazofundwa, lengo la kufundwa, etc maswali ni mengi sana , kwa sasa nakuachia hapa ili ukitoka ufipa nikuendelezee dozi.