Kwani huko Arusha kuna jando na unyago mpaka waende kufundwa..?? Na ndio maana fikra finyu hizo mkiambiwa tutawageuza kuwa NGO ili mfanye kazia za "advocacy" mnaanza kutokwa tokwa povu jingiii..... maana huu ni uzushi
wa mchana kweupeee...
nikikuuliza , nani facilitators na sponsors wa mafunzo hayo ya jando na unyago (maana umesema wanaenda kufundwa) , nitajie wanachama au mawakili hao wa serikali, muda ambao mwatafundwa(kama ulivyyosema) , ukumbi wataofundwa, mada watazofundwa, lengo la kufundwa, etc maswali ni mengi sana , kwa sasa nakuachia hapa ili ukitoka ufipa nikuendelezee dozi.