Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

Kwa Trump hali hiyo si ya kawaida. Trump alitaka kupora uchaguzi alioshindwa kwa kishindo. Pamoja na kufungua kesi 62 hakuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai yake hivyo kesi zote 62 alizofungua kupinga matokeo ZILIPIGWA CHINI...
Wenzetu wana taasisi imara

Ova
 
Reactions: BAK
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila asipo angalia mwisho wake utakuwa aibu

Ova
 
Kabisa Mkuu Trump alidhani anaweza kupindisha sheria kirahisi kwa kuwatumia Republicans wenzie ambao walisimamia uchaguzi, waliosikiliza kesi zake 62 za kupinga matokeo na hata kule Supreme Court ambapo kuna Republicans 6 na Democrats 3 kote huko alipigwa chini.

Si kama hapa kwetu Bunge, mahakama, Tume ya uchaguzi, polisi, JWTZ, TISS etc vyote jiwe kaviweka mfukoni mwake hivyo kupora uchaguzi kwake ni rahisi mno kama kumsukuma mlevi.
Wenzetu wana taasisi imara

Ova
 
We ni mpumbavu kweli kea akili yako lissu alishinda uchaguzi?

Mbona mnalishwa ujinga mkiwa hai na mistress yenu?
 
Mu7 atashinda tu mzee baba
Nchi za kiafrika huwez shinda kwa makaratasi
Ndomana m7 anajiita quarter pin

Ova
Kama mnajua hamuwezi kushinda kwa makaratasi mnaingia kwenye uchaguzi wa makaratasi wa nini?
 
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani


kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
Ni Afrika tu, haya mambo huwezi ona kule kwenye demokrasia ya ukweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…