TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Tatizo halipo kwa askali wa kawaida bali kwa wale wenye vyeo hao ndio matatizo.Askari wa kiafrica wote wanafanana wanaishi maisha magumu Sana kwa kuwalinda watawala dhalimu wasiojali maslai yao
Askali wenye vyeo vidogo wanapokea order toka juu, so ukikataa unajua sheria za jeshi na wale wakubwa wanakula mvinyo na dictator wakimwambia dictator "tunatekeleza" na sisi tunataka ufanye hiki, dictator anafanya ili mradi atimiziwe atakalo.