Tatizo halipo kwa askali wa kawaida bali kwa wale wenye vyeo hao ndio matatizo.
Askali wenye vyeo vidogo wanapokea order toka juu, so ukikataa unajua sheria za jeshi na wale wakubwa wanakula mvinyo na dictator wakimwambia dictator "tunatekeleza" na sisi tunataka ufanye hiki, dictator anafanya ili mradi atimiziwe atakalo.