kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Watawala wetu siku zote na muda wote wanataja wanawake, wanawake, wasichana, wasichana muda wote kwenye mipango yao. Wanaume na wavulana hawasikiki hata kidogo.
Kama atajitokeza mgombea mwanaume anaeaminika (sio Lissu) patachimbika. Vijana wa kiume wanavuja damu kwenye mioyo yao. Hawajisikii majina yao.
Kamala Harris alikuwa ni wanawake wanawake wanawake Kila wakati na Kila Kona akakiona cha moto. Hakuwa na sera yoyote kuhusu vijana wa kiume na wanaume.