Tatizo la single mother ni kubwa na litakua kubwa sana kama tutaendelea kuongoza na mama mwenye nyumba.
Watoto wadogo wana tabia ya kuiga Mtu mashuhuri . Leo vijana wengi wamekuwa machawa kwa sababu wanajua mama mwenye nyumba ni kawaida kupenda kutukuzwa na kuheshimiwa . Na kawaida mama mwenye nyumba hua anapenda watu wanaoishi single.
Lakini pia nchi za magharibi zilitukuza na kupendelea sana wanawake kwa kila nyimbo na maigizo na move matokeo yake watoto wa kiume wakajiona kuwa wana bahati mbaya kuzaliwa wanaume na sasa wamefikia mahali wanaume ndio wanaopenda kujibadilisha kuwa wanawake .
Mila zetu za kiafrika ,tamaduni zetu ,dini zetu ,matambiko yetu na hata dini zilizokuja na majahazi ni mkosi mkubwa wanaume kufanya matambiko au hata biashara kwa kusuongozwa na wanawake.
Tunadhoofisha sana watoto wa kiume na wengi sasa wanakua na tabia za kike kike kwa sababu wanaona wanaume wanaishi kama machawa wakati wanawake waleshateka utawala wao na baba zao wanakenua meno kwa hofu na woga wa kupoteza teule.
Mabeyo alitukosea sana kuligeuza taifa kuwa Koloni lisilo na mwenyewe.
MUNGU tuepushe na mipango miovu ya shetani kuondoa kizazi cha mwanadamu kwa kuwadhoofisha wanaume ili baadae walete watoto wa kutengenezwa maabara.