Mlenge , kama Zakumi alivyosema hapo juu. Hapa kuna 'misconception au misconstrue''
Hukumu ipo hivi, katika SCOTUS kuna majaji 9.
1. Wawili wakasema ' ilikuwa muhimu kusikiliza kesi'' na huu ndio umekuwa msimamo wao, Justice Alito and Thomas Clarence. Mwisho wa Andiko lao wakasema maneno haya ''...but would not grant other relief'
Justices Alito na Clarence wanasema kuwa wangependelea au kutoa (grant a motion to file a bill) but would not grant other relief. Kwamba wangependa kesi itajwe ingawaje wasingekuwa na maoni tofauti na ilivyo sasa.
Ndio msingi wa neno '' other' kama ilivyotumika.
2. Kesi iliyokuwepo ni ya Texas dhidi ya state nne, kwamba, Texas na hasa yule AG alikuwa na ''feelings' kuwa Michigan, Pen, Wisc, and Georgia hazikutendewa haki .
SCOTUS wanasema kuna 'lack of standing'
Hii ni kwasababu si kila hoja inayopelekwa mahamani inasikilizwa na mahakama husika
Kwa maneno mengine, ruling ni 9-0 wakiwemo majaji 3 walioteuliwa na Trump.
Ruling ni 9-0 na si 7-2 kwasababu kuna issue mbili.
Kusikilizwa kesi 'grant a motion to file a bill' kulipingwa na majaji 2, lakini 'would not grant other relief' kuna waleta majaji 2 kuungana na 7 kwamba msimamo ni mmoja na ndio msingi wa 9-0
Nikimaliza kibadameno(mhogo) na chai huenda nitakuwa na la kusema zaidi.