Jokakuu;
There’s no doubt that economic issues are at play here. In the US, the rich people have become richer and the gap between poor people and rich people is exceedingly wider. So, one could argue that something is simmering beneath the surface.
Hapa sikubaliani kwasababu moja kubwa, ikiwa tatizo ni uchumi vurugu zingetokea wakati wa Bush au Obama. Ikiwa uchumi ni sababu, watu wa kwanza kufanya vurugu wangekuwa colored. Kwanini iwe KKKz?
Apart from economic issues, for the lack of better terms, I could say there’s a culture or ideological war going on in the country and politicians have consistently cultivated that situation to their own advantage.
Katika ideology sina uhakika kwasababu from time immemorial US imekuwa na GOP na Dems ambavyo vyote vina sera za nchi zisizobadilika na zile zinazobadilika kutokana na chama kinachotawala.
Nakubaliana nawe kuhusu culture, kwamba kubadilika kwa ''demography'' kuna tishia sana weupe ambao hawakuwahi kufikiri mtu mweusi anaweza kuwa 'secretary '.
Andrew Young alipochaguliwa balozi wa US katika UN ilikuwa habari kubwa duniani.
Nakumbuka ilikuwa kama furaha ya dunia kwa mweusi wa kwanza kuwa katika nafasi hiyo.
Watu wanasahau John Lewis alipigwa pale darajani kwa kupigania haki ya kupiga kura.Ni miaka 60 tu iliyopita. US kuwa na Rais Mweusi na sasa VP na kitendo cha weusi kuwa na nguvu katika electoral college kinawakera wahafidhina vijijini na White Supremacists
Kinachotakiwa ni Rais anayeweza kueleza kwanini hali hiyo inatokana.
Kwa bahati mbaya Trump anawatumia watu wenye hizo grievances kuwageukia wenzao.
Trump anafanya hivyo akijua ni beneficiary, kwamba, watu weupe walitosha kumweka madarakani.
Inapotokea Georgia , Arizona, Penn state n.k. zinamuliwa na watu colored katika electoral college, weupe wanaoiona hatari, ni mabadiliko ya Culture.
Culture kama Commissioner wa Polisi Mweupe, Senate ina wazee weupe, Cabinet ina weupe n.k.
Ukitaka kujua ni culture ambayo Trump anaitumia, malalamiko kuhusu 'fraud' yapo katika miji ya weusi.
Hapa Trump anaongea na proud boy kwamba weusi ndio wanaoamua uchaguzi !
Ndiyo maana hutumia maneno '' take back our country'' sasa jiulize take back kutoka wapi?
Trump anasema '........you will have no country'' , Jiulize US itakwenda wapi?
For instance, if you look at the people who are at the forefront of Trumpism or who have defended Trump vigorously in the media or in the congress, you will not find a single person who is economically disadvantaged or uneducated.
Majority ni uneducated. Mfano, hivi hawakujua Trump alikuwa anakusanya pesa za kutokea Ikulu!
Ina maana hawajui uchaguzi wa Marekani unaamuliwa kwa njia zipi.
Ni uneducated kwasababu wanamsikiliza Trump, kawaulize fraud ipo wapi na nani anafanya?
Hivi QAnon ni watu educated wale.
Ni uneducated kwasababu hawakumbuki Trump aliingiaje katika Politics.
Mfano, wanaaminije kuwa Mexico italipa gharama ikiwa huku Tz niliona haiwezekani?
Wanaaminije Trump ana Healthcare plan wasioiona na wanaamini ni nzuri sana kuliko Obamacare ?
orodha ni ndefu, inatosha kusema wengi ni uneducated na ndipo Trump anaposhinda.
Polls zote zinaonyesha Trump hana support ya Vijana, educated and urbanite