Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Tena ukajiamini kabisaaaa.
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Mambo yamekuwa tofauti sana
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Tena ukajiamini kabisaaaa.
🀣🀣🀣🀣
 
Tanganyika iko wapi kwenye ramani ? Je kwenye orodha ya mataifa huru chini ya UN Tanganyika iko namba ngapi?
Ramani ya kwenye karatasi..?

Ipo kwenye mioyo yetu, iko mbinguni mbele ya Mungu...

Ni kuwa tu imeibiwa na kufichwa sehemu...

Tutairudisha tu toka huko mafichoni....!
Acheni kukaririshwa na hoja za uzushi za akina Tundu Lissu
Kuelewa hili humhitaji Tundu Lissu bali ni akili zako timamu tu...
 
Mashabiki wa Kamara Harris mko wapi? Siku 3 kuelekea uchaguzi Trump na Kamara wamefungana kwenye national polls wakati Trump akiongoza kwenye Swing states.
Jamii ya waarabu ya Michigani imemkataa Kamara na ime muendorse Trump. Njia ya ushindi kwa Trump ni wazi wasipoiba uchaguzi. Washaanza ila wanapigwa spana
Haya haya haya niliwaambia ndg zangu wakabisha. Kiko wapi? Mwendo ni uleule... Sasa inakuja ushindi wa CCM vijiji na vitongoji na urais.
 
Ramani ya kwenye karatasi..?

Ipo kwenye mioyo yetu, iko mbinguni mbele ya Mungu...

Ni kuwa tu imeibiwa na kufichwa sehemu...

Tutairudisha tu toka huko mafichoni....!

Kuelewa hili humhitaji Tundu Lissu bali ni akili zako timamu tu...
Haya nendeni mkaishi kwenye mioyo yenu.
 
Back
Top Bottom