Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

Bro Mag3 naamini huko ulipo umejihidi kunywa hata maji. Maana hili pigo sio mchezo angalia hapa Trump kazoa EC votes zaidi ya 300 licha ya kushindana na watu lukuki wakati yeye ana Elon Musk peke yake, ndio ujue kabisa wamarekani sio watanganyika... Wanajua taifa lao linahitaji nini na kiongozi gani anayewafaa.
Screenshot_20241106-124446.jpg
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Una hali gani huko uliko?
 
Mbona hujibu meseji ewe mpenda makalio??? Hahaha mmepigwa mapemaa
 
Sikushangai hata kidogo ndugu yangu kwani mwaka 2008 wapo walionena hivyo hivyo kwamba Obama hawezi kuwa Rais wa Marekani...Obama alipata ushindi wa kishindo.

Miaka kumi na sita baadaye, leo huyo huyo Obama alikuwa jukwaani akimnadi Kamala! Laiti ungefualitia yanayojiri kwenye convention ya DEMS...moto ulikuwa ni ule ule wa 2008!

Siasa za Marekani na siasa za Tanzania ni kama mbingu na ardhi. Nimekufuatilia kidogo humu ndani hivyo sikushangai kwa msimamo wako wa CCM kutawala Tanzania milele.
Ewe kalios upo wapi?
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Je amepata mpinzani au bado?
 
Kwamba wale wahafidhina wampe password za nuclear mke wa mtu? Subutu, Marekani hi hi. Uingereza walijaribu mara moja, don't think kama watarudia tena
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Mkuu, unaweza kurudia tena maneno yako?
 
Siku chache kabla ya uchaguzi niliandika hivi,

"Sisemi kwamba Trump hawezi kushinda lakini ikitokea Trump
pamoja na vituko vyake vyote, past and present, akashinda,
nitakiri kuwa the USA, niliyokuja kujiaminisha kwamba naijua, siijui!"

Laiti ungejua...

View attachment 3144971

View attachment 3144973
Wewe mburula labda ulikuwa unamaanisha USA ya pale Arusha kati ya Tengeru na MajiyaChai
 
I am not biased...

I hate no body.....

I write/speak the truth...

Samia Suluhu Hassan si Mtanganyika, ni Mzanzibari...

Zanzibar ni nchi nyingine (sema nchi ya kigeni). Tanganyika ni nchi nyingine separate kabisa na Zanzibar...

Kwa facts hizi inawezekanaje Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika? Kwa sbb ya hiki kinachoitwa "Muungano?"

Ok. Ni muungano. Je, ndiyo tuliungana kwa namna hii? Mshirika mmoja wa muungano ku - undermine sovereignty ya mshirika mwenzake...?

NO WAY. USHIRIKA WA NAMNA HII UNA MAKOSA MAKUBWA NA HAUFAI HATA KIDOGO....!!

Unadhani inawezekana vipi Mtanganyika kama Tundu Lissu akawa Rais wa Zanzibar?

Kwanini iwezekane kwa Mzanzibari kuwa kiongozi wa level ya u - Rais Tanganyika na usiwe hivyo kwa Mtanganyika huko Zanzibar...?

Kama huioni kasoro hii, basi iko shida kwenye ufahamu wako....!

My stand is always: Samia Suluhu Hassan si raia wa Tanganyika. Ni raia wa Zanzibar na kwa sababu hii ni makosa makubwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi ya Tanganyika....!!
Tanganyika iko wapi kwenye ramani ? Je kwenye orodha ya mataifa huru chini ya UN Tanganyika iko namba ngapi?

Acheni kukaririshwa na hoja za uzushi za akina Tundu Lissu
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
🤣🤣🤣
 
Unamaanisha asubuhi ya lini hapa mkuu, kesho au kkutwa? Maana muda wa kuhesabu kura unaenda mkuu
 
Back
Top Bottom