Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Mkuu Mag3 , tufukue kaburi au bado bado kwanza?? Kwasababu as it stands, Trump anaelekea kubeba battleground states zote😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Mkuu Mag3 , tufukue kaburi au bado bado kwanza?? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Siku chache kabla ya uchaguzi niliandika hivi,

"Sisemi kwamba Trump hawezi kushinda lakini ikitokea Trump
pamoja na vituko vyake vyote, past and present, akashinda,
nitakiri kuwa the USA, niliyokuja kujiaminisha kwamba naijua, siijui!"

Laiti ungejua...

1730876354439.png

1730876469306.png
 
Uanndishi wako ni biased sana na umetawaliwa na hate inayowaka moto. Utasemaje Samia ni raia wa Taifa la kigeni?
I am not biased...

I hate no body.....

I write/speak the truth...

Samia Suluhu Hassan si Mtanganyika, ni Mzanzibari...

Zanzibar ni nchi nyingine (sema nchi ya kigeni). Tanganyika ni nchi nyingine separate kabisa na Zanzibar...

Kwa facts hizi inawezekanaje Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika? Kwa sbb ya hiki kinachoitwa "Muungano?"

Ok. Ni muungano. Je, ndiyo tuliungana kwa namna hii? Mshirika mmoja wa muungano ku - undermine sovereignty ya mshirika mwenzake...?

NO WAY. USHIRIKA WA NAMNA HII UNA MAKOSA MAKUBWA NA HAUFAI HATA KIDOGO....!!

Unadhani inawezekana vipi Mtanganyika kama Tundu Lissu akawa Rais wa Zanzibar?

Kwanini iwezekane kwa Mzanzibari kuwa kiongozi wa level ya u - Rais Tanganyika na usiwe hivyo kwa Mtanganyika huko Zanzibar...?

Kama huioni kasoro hii, basi iko shida kwenye ufahamu wako....!

My stand is always: Samia Suluhu Hassan si raia wa Tanganyika. Ni raia wa Zanzibar na kwa sababu hii ni makosa makubwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi ya Tanganyika....!!
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
umeshapata chai mhogo?
 
Ulikula maharagwe ya wapi kijana
 
Exactly yule Mama pamoja na kutumia sympathy ya uindi na uafrica Ila watu bado wanataka Trump aingie pale kwa mara nyingine
Tulitukanwa na mafalla humu leo yameumbuka
 
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.

Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!

Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.

Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
(Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa)

pole mkuu
 
You might be right on one hand...

Issues like economy, USA foreign policy especially USA interests in the on going political conflicts in the Middle East i.e Israel vs Gaza/Lebanon/Hezbollah and Russia - Ukraine war, healthcare and immigration policies of both candidates are definitely deciding factors..

However, unlike African elections and specifically Tanzania, personal attitudes and characters of candidates who wants to hold USA Oval Office play big role in making decisions..

Donald Trump is very weak in this category. He lacks integrity, morals, democratic ethics and generally he's a threat to the USA and world democracy at large.....

Also inside unclassified sources suggest that he's mentally unfit to hold highest position of that big, influential and powerful nation in the world...

Those 👆👆👆are factors which are closing his door to the USA White House 🏠🏠🏠🏠 for the second time...

So, it's very easy to predict that, Donald Trump won't be 47th president of United States Of America comes next week...!!
Yaani na viingereza viiingi mwisho wa siku uharo tu
 
Mwaka-Trump hana tofauti na Magufuli kabisa,

Trump kila akisimama ni kusema Marekani imechezewa na inachezewa, sasa watu wa Tanganyika wao makofi tu, wazungu hawapo hivo

Mitume na manabii wanaotanganza ushind kwa Trump wataficha wapi uuso
Duh
 
Sikushangai hata kidogo ndugu yangu kwani mwaka 2008 wapo walionena hivyo hivyo kwamba Obama hawezi kuwa Rais wa Marekani...Obama alipata ushindi wa kishindo.

Miaka kumi na sita baadaye, leo huyo huyo Obama alikuwa jukwaani akimnadi Kamala! Laiti ungefualitia yanayojiri kwenye convention ya DEMS...moto ulikuwa ni ule ule wa 2008!

Siasa za Marekani na siasa za Tanzania ni kama mbingu na ardhi. Nimekufuatilia kidogo humu ndani hivyo sikushangai kwa msimamo wako wa CCM kutawala Tanzania milele.
Mag3
 
Kiko wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imeshafika jioni, bado tu kamara hajashinda?
 
Sikushangai hata kidogo ndugu yangu kwani mwaka 2008 wapo walionena hivyo hivyo kwamba Obama hawezi kuwa Rais wa Marekani...Obama alipata ushindi wa kishindo.

Miaka kumi na sita baadaye, leo huyo huyo Obama alikuwa jukwaani akimnadi Kamala! Laiti ungefualitia yanayojiri kwenye convention ya DEMS...moto ulikuwa ni ule ule wa 2008!

Siasa za Marekani na siasa za Tanzania ni kama mbingu na ardhi. Nimekufuatilia kidogo humu ndani hivyo sikushangai kwa msimamo wako wa CCM kutawala Tanzania milele.
Unajifanya kuijuaaaaaa marekani. Sijui unajisikiaje sasa hivi Gairo huko uliko na uchambuzi wa kujifanya mmarekani
 
Back
Top Bottom