Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
👊... IT'S TRUMP! ⚡⚡💥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado siku 2.Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris ataizima hiyo ndoto ya Trumo mapema asubuhi mwezi November!
Kuna watu wana wasiwasi kwa vipi mwanamke anaweza kuwa Rasi wa wa Marekani. Naomba niwaondoe wasi wasi, kwa taifa la kidemokrasia kama USA hilo lawezekana sana tu.
Natazama convention ya DEMOCRATS ikiendelea mjini Chicago na nawaambia ile ya Trump wa REPUBLICANS ilikuwa cha mtoto! Kamala Harris hana mpinzani, anashinda mapema asubuhi.
Unaandika kama ushabiki wa Simba. I don’t got time for that shit.Hatuna haja kubishana, siku 4 zijazo zitaongea..Trumph hana mpinzani
Marekani kuna ukabila.Ya
Tatizo la Hawa wahamiaji haramu wamejawa na hofu, wanajua mabadiliko ya immigration policies yatakayofanywa na serikali ya Trump yatawarudisha huku mavumbini...
Pamoja na hivyo, huyo mwanamama Kamala ambaye mpaka leo hii hata yeye mwenyewe hajui Yuko ethnic group gani hawezi kushinda, maana hata huko blue states tu ameshaanza kugalagazwa.
Hasira za nini sasa?Unaandika kama ushabiki wa Simba. I don’t got time for that shit.
Wtf? GtfohHasira za nini sasa?
Ukisha post hapa, hiyo post sio yako tena, unaweza kuungwa mkono au kukosolewa...ufike wakati ukue mkuu uache makasiriko maisha ni mafupi sana.
Trump atashindaMambo yameshaoinduka Kwa Kamala ndugu Bora ufute Uzi tuu 😄😄
You might be right on one hand...It's challenging to predict an election outcome with certainty, especially with so many factors at play: voter turnout, economic conditions, key debates, and campaign strategies all have a strong impact. Polling data and historical trends provide some insight, but elections are dynamic and sometimes unpredictable.
Kamala Harris and Donald Trump would represent two very different policy visions for the U.S., so the outcome would likely hinge on key issues like the economy, healthcare, climate policy, and foreign relations, as well as the candidates’ ability to mobilize their voter bases.
Umeandika UWONGO na Trump atakuumbua keshoYou might be right on one hand...
Issues like economy, USA foreign policy especially USA interests in the on going political conflicts in the Middle East i.e Israel vs Gaza/Lebanon/Hezbollah and Russia - Ukraine war, healthcare and immigration policies of both candidates are definitely deciding factors..
However, unlike African elections and specifically Tanzania, personal attitudes and characters of candidates who wants to hold USA Oval Office play big role in making decisions..
Donald Trump is very weak in this category. He lacks integrity, morals, democratic ethics and generally he's a threat to the USA and world democracy at large.....
Also inside unclassified sources suggest that he's mentally unfit to hold highest position of that big, influential and powerful nation in the world...
Those 👆👆👆are factors which are closing his door to the USA White House 🏠🏠🏠🏠 for the second time...
So, it's very easy to predict that, Donald Trump won't be 47th president of United States Of America comes next week...!!
Hakuma kufuta tutaruka nae ,,yaani Harris ashinde,North Carolina, Arizona, Georgia???Mambo yameshaoinduka Kwa Kamala ndugu Bora ufute Uzi tuu 😄😄
Kiboko ya viongozi wa Afrika wanafiki, Donald Trump namtakia ushindi mwema keshoJe Wazee wa Marekani wenye nchi yao wako tayari kuongozwa na Mwanamke?
Kati ya Kamala Harris na Hillary Clinton yupi Mwenye nguvu na ushawishi kumzidi mwenzie?
Mpaka kina Obama wamepanic hatari,,sioni Harris akishindaMashabiki wa Kamara Harris mko wapi? Siku 3 kuelekea uchaguzi Trump na Kamara wamefungana kwenye national polls wakati Trump akiongoza kwenye Swing states.
Jamii ya waarabu ya Michigani imemkataa Kamara na ime muendorse Trump. Njia ya ushindi kwa Trump ni wazi wasipoiba uchaguzi. Washaanza ila wanapigwa spana
Likely wewe hufuatilii harakati za uchaguzi huu wa USA closely...Umeandika UWONGO na Trump atakuumbua kesho
Uanndishi wako ni biased sana na umetawaliwa na hate inayowaka moto. Utasemaje Samia ni raia wa Taifa la kigeni?Likely wewe hufuatilii harakati za uchaguzi huu wa USA closely...
Iko hivi ndugu Huihui2...
Mimi si muumini na sijawahi kumwamini mwanamke yeyote kuongoza nchi au taifa hususani ktk nchi za dunia ya 3 masikini na zenye viongozi walafi na waliojaa tamaa za ki - Afrika ambazo zina mifumo dhaifu ya kikatiba na kisheria ya CHECKS & BALANCE OF POWERS, Tanganyika ikiwemo..
Ndo kusema, kumpa mwanamke dhaifu anayeweza kutongozwa na kushawishiwa na kuingizwa mkenge hata na nyoka wa porini Katavi au Kizimkazi kuongoza taifa, obvious ni kuiweka nchi na watu wake kwenye risk ya hatari kubwa sana...!
Ndio maana hapa kwetu Tanganyika napinga na kukataa kwa nguvu zote mwanamke (Samia Suluhu Hassan) tena wa taifa la kigeni (Zanzibar) kuongoza nchi yetu..
Lakini kwa wenzetu wa huko dunia ya kwanza, utashangaa sana baada ya siku mbili tu zijazo kwa Kamala Harris kutangazwa kuwa ni Rais mwanamke wa kwanza na wa 47 tangu kuzaliwa kwake, tena mwenye asili ya Latino - Asian...!!
Niko hapa, tukutane Jumatano au alhamisi tupeane mrejesho...