Kwa kawaida sijibu upuuzi kama huu wako lakini nakuomba kama utakuwa na muda ufuatilie yanayojiri kwenye Convention mjini Chicago.
Hilo la kwanza, la pili subiri yatakayofuata siku kampeni rasmi inazinduliwa baada ya Kamala kuteuliwa rasmi siku ya Ijumaa.
Kwa muda mfupi nimefuatilia machapisho yako ya karibuni humu ndani na ghafla nimejikuta nakuhurumia na nakusikitikia sana tu!
Naihurumia nchi yangu Tanzania na nafadhaika na kuumia kweli moyoni kwamba watu kama ninyi mmetamalaki ndani ya taifa letu!
Katika miaka mia mbili ajira mpya 51,000,000 zilianzishwa nchini Marekani na kati ya hizo 50,000,000 zilianzishwa na Democrats...nakutakia siku njema.
Dakika hii Oprah Winfrey anaongea, ngoja nimsikilze! Americans are not going back, In 75 days Trump, the enigma, will disappear!